Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Huyu mudada anavinasaba vya udini sana..
Tulia tu hiyo dini haitakusaidia chochote tenda mambo mema hakika utafurahia uwepo wako hapa duniani.

Na ikitokea unapenda sana dini yako usiwakwaze wengine maana nao wanadini zao
 
Wewe mwenyewe ndio umehitimu ujinga. Tangu lini mwarabu akawa mtu mwema.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndio mtu mwema, tena sana kuliko hata wabantu, isipokua wachache ni wema.

Hivi tunavyoongea tayari watu weusi 10 wameshauliwa na kafiri mwenzenu huko marekani mnakowanyenyekea.

Allah awajaalie waarabu, tunawapenda sana kwa huruma yao, imani, ukarimu na ustaarabu waliouleta huku.
 
Ulichosema kinaweza kuwa kweli.
Hawa waliokuwa ktk haya maeneo ambayo hizi imani au dini zimeanza huwa wanajiona wao ndiyo wenye haki miliki za hizi imani. Hata kwa wakristo, Jews hujiona na wanaamini you can't pastor them. Ukristo umeanzia nyumbani kwao. The same to arabs.
 
Ni Asalaam Alaikum, tuwache kejeli kijana. Kuwa na heshima na jamii inayokusoma.

Ma shaa Allah hilo la "Ajuza" nimelipenda, njoo vizuri ajuzae apate kukujuza.


Wacha ujinga.
Inshaallah ntakaribia Ajuza
 
Uislam sio dini?
Naona swali limekuwa dini kwako umeshindwa kulijibu.

Wewre bado hujawa Muislam? Unangoja nini kujisalimisha kwa Muumba wako?
kwahiyo dini inaweza kukuokoa na jehanum?
Kabisa tena, kwa sababu dini ndiyo itakufundisha uishi vipi hapa duniani kuepuka Jahanam. Na dini pekee ni Uislam.
 
Naona swali limekuwa dini kwako umeshindwa kulijibu.

Wewre bado hujawa Muislam? Unangoja nini kujisalimisha kwa Muumba wako?

Kabisa tena, kwa sababu dini ndiyo itakufundisha uishi vipi hapa duniani kuepuka Jahanam. Na dini pekee ni Uislam.
dini inapokuokoa mungu wako anakuwa amelala, au huwa hamuongei na mungu wenu na kumwambia awaokoe ili mumtegemee yeye badala ya kutegemea dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…