Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Naam, ndiyo dini pekee duniani kwa Mwenyeezi Mungu.


Unafahamu maana ya neno "dini"?
Hakika napenda jinsi unavyompenda na kumheshimu Mungu, ni mambo mazuri ya kuiga toka kwako. Langu moja tu ni kuwa katika upendo huo jaribu ku balance na wale wa imani tofauti ili pia wawezd kuvutika kwa pendo hilo badala ya kuwabagua lwa chuki
 
Hakika napenda jinsi unavyompenda na kumheshimu Mungu, ni mambo mazuri ya kuiga toka kwako. Langu moja tu ni kuwa katika upendo huo jaribu ku balance na wale wa imani tofauti ili pia wawezd kuvutika kwa pendo hilo badala ya kuwabagua lwa chuki
Ahsaate nimekuelewa, sina chuki lakini binadam sikosi mapungufu yangu, labda nijirekebishe namna ya kuwasilisha maandiko yangu. Kuandika Kiswahili kumenipa shida sana kwani sisi Muingereza aitusomesha kwa Kingereza, Kiswahili lilikuwa somo moja tu.

Alitukosea sana kwa hilo, alikuwa ana nia ya kufuta kabisa utamaduni wa Kiswahili, Kwani Waswahili wote walikuwa Waislam. Kihistoria.

na sisi kwa ujinga wetu tukawa tunaona ndiyo kustaarabika kumbe ndiyo kuondolewa ustaarabu wetu.


Kupigwa vita Uislam na shetani kumeanza zamani sana.
 
We punguani kwanini huwa unaletaga mambo ya kiimani humu.
Baki na imani yako kama katiba inavyosema
 
Hapana sifahamu...tafadhali nielimishe

Neno "dini" kwa Kiswahili linatokana na neno "Din" la Kiarabu​


Katika istilahi za Kiislam, neno hili hurejelea njia ya maisha ambayo Waislam wanapaswa kufuata ili kufuata sheria za Mwenyezi Mungu (Sharia). inayojumuisha imani, tabia na matendo. Neno hili linaonekana katika Qur'an mara 98 likiwa na maana tofauti, ikijumuisha katika maneno yawm al-din ( Kiarabu : يوم الدين ), ambayo kwa ujumla hutafsiriwa kuwa " Siku ya Hukumu " au aya maarufu "La ikraha fid din" ambayo hutafsiriwa. kwa "Kusiwe na kulazimishana katika dini." ( Tafsiri ya Abdullah Yusuf Ali ).

Din nineno la Kiarabu lenye maana tatu za jumla: hukumu, desturi, na njia.

Hayo ni kwa uchache ukioenda kuelewa zaidi Pitia:
. Chanzo: Din (Arabic) - Wikipedia.
 
Sawa,asante
 
We punguani kwanini huwa unaletaga mambo ya kiimani humu.
Baki na imani yako kama katiba inavyosema
Soma mada, ukiona huyawezi siyo lazima ujibu> Ukijibu inamaanisha unayapenda.

Usikasirike uliza chochote usichokielewa tutakujibu.

Unajuwa wewe kama u mkristo, tofauti yetu sisi na nyinyi kuhusu imani, ni nyinyi wenzetu mna imani kipofu (blind faith), Hamuhoji, hamuulizi, hamdadisi kuhusu imani yenu, mnaswagwa tu, ndiyo maana mmeitwa kondoo.

Waislam hatutakiwi kuwa na Imani kipofu, tunahimizwa kuhoji, kusoma, kudadisi ili tusiwe kondoo. Uislam unatufundisha kuwa Waislam ni wachungaji siyo kondoo.
 

Wewe na mzee side boi mud,anakupelekea moto.
 
Ukiondoa lugha ya kiarabu kiswahili hakuna
 
FaizaFox uliwahi tembelea Afghanstan japo kwa sekunde tu?? Wewe mwanamke mjinga sana kuwahi kutoka katika nchi hii
 
FaizaFox uliwahi tembelea Afghanstan japo kwa sekunde tu?? Wewe mwanamke mjinga sana kuwahi kutoka katika nchi hii
Sasa ujinga wangu mimi, wewe unaumia nini? Au ni mahaba yako kwangu?


Sijatembelea Afghanistan lakini nawafahamu Wa Afghan wengi sana, nimeishi nao kama Waislam wenzangu.

Wewe umewahi kutembelea? Napaona kwenye Youtube ni pazuri na ni watu wazuri sana. Ma shaa Allah.

Swali lako linahusiana nini na mada iliyopo kwenye uzi huu? Au unataka kubadili mada?
 
Naam, ndiyo dini pekee duniani kwa Mwenyeezi Mungu.


Unafahamu maana ya neno "dini"?
Ugonjwa wa akili. Ata wahindu wanadhani hivi, ata wakristo wanadhani hivo. Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Sijawahi kuona una Akili
Huwa nakuona kama Mjinga fulani tu
 
Ukweli ni upi unaoujuwa wewe?
Kwamba waarabu walishiriki kikamilifu kwenye biashara ya utumwa.
Unataka kutuaminisha kuwa huyo mzee wako ndo Profesa pekee mwenye hati miliki ya ukweli kuhusu biashara ya utumwa?Kwamba hapa Tanzania profesa mwenye akili na aliyefanya utafiti kuidhihirisha hiyo "kweli"ni yeye peke yake?
Nilichojifunza kwenye huu mjadala ni namna chuki na inferiority complexities zinavyokutafuna.
Mind you,Maprofesa na wasomi wa kweli wala hawatumii nguvu na hisia kutoa matokeo ya tafiti zao.
Ukiwaona wa upande wa pili wamenyamaza ni kwamba wamempuuza propesa wako
 
Hapo hauna point kabisa ni ujinga tu.
Hakuna ambae hajashiriki biashara ya utumwa, babu zetu walikuwa wanawauzia Waarabu na Wazungu watumwa.

Tena unaelewa kuwa biashara ya utumwa haijaisha mpaka leo?

Jisomee kidogo, kama lugha itakupa tabu tumia AI Chat GPT akutafsirie, anatafsiri vizuri kuloko google.


The recent discovery of the remains of the Portuguese slave ship São José off Cape Town has brought East Africa’s role in the transatlantic slave trade to public attention. But the São José was merely one of a large number of slave vessels that either rounded the Cape or put into Table Bay for refreshment.

The sinking of the São José two days after Christmas in 1794 marked the end of a bad year for the slave trade at the Cape of Good Hope. In April that year, a second vessel, the French ship Jardinière, had gone down off Cape Agulhas. Around 185 slaves had reached shore but many had then escaped or had died of their exertions. Only 125 were finally auctioned at Stellenbosch.

In France, the republicans had outlawed slavery and the slave trade. In Britain, a chorus was rising in many parts of the country in opposition to a trade that wrenched 80,000 people every year from their homes in Africa and brought them to the Americas.

Soma zaidi: The story of East Africa's role in the transatlantic slave trade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…