luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kbs,miarabu ndio ilileta utumwa,Hadi Léo HII inatesa wafanyakazi WA ndani hko kwaoMb zimepanda.... Toa tu maelezo tutachangia... Ila kama mada video inahusu biashara ya utumwa kwa waabu na hyo video inatetea waarabu hawajafanya biashara ya utumwa.. Itakuwa wewe na huyo alioandaa documentary ni wajinga wote...
Peleka ujinga Wako kwa hyo miarabu Yako miasisi ya utumwaUsianze kukisia, kama hauna mb, tatizo ni lako sio letu. Wacha kulialia kwa hisia zako za kijinga.
Imekanushwa hiyo na Wizara ya ElimuHivi hii nchi ni Islamic State?View attachment 2672496
kwahiyo dini inaweza kukuokoa na jehanum?
Acha kuongea mambo usiyoyajua mkuu, waarabu ni watu wakarimu na wana imani na roho nzuri, acha kukaririshwsPeleka ujinga Wako kwa hyo miarabu Yako miasisi ya utumwa
Kbs,miarabu ndio ilileta utumwa,Hadi Léo HII inatesa wafanyakazi WA ndani hko kwao
Alafu maeneo yote yaliyokaliwa na miarabu Hapa Tanzania hakuna maendleo Hadi leo
Walikubagua nini Wachaga ? Peleka watoto shule la sivyo utalalama Hadi yesu arudi[emoji2]Hujui hata unachokiongea mkuu, ALEYOMBA GEKKE chunguza kwanza kabla hujacomment na sio kuleta chuki chuki tuu, tangu uwachukie waarabu umepata nini!! olenimala nkoi acha ubaguzi.
Hivi kuna watu wabaguzi hapa nchini kama wa huko kwenu uchagani japo sio wote wabaguzi! Kabla hujawazungumzia waarabu fuatilia ya watu wa karibu yako na uwape darsa kidogo
Bhujiku ng'waka
Hivi hii nchi ni Islamic State?View attachment 2672496
Walikubagua nini Wachaga ? Peleka watoto shule la sivyo utalalama Hadi yesu arudi[emoji2]
Kwahiyo ww ni muarabu?Kinachokuuma ni nini! Mbona ninyi mnawafundisha watoto wenu kuchukia waarabu na kuwaaminisha walitesa mababu! Yani mnawajaza watoto wenu sumu tangu wakiwa wadogo, dahh hii ni hatari
Aleyommba gekke acha udini, acha ubaguzi na ukabila
Kwahiyo ww ni muarabu?
Binafsi huwa simchukukii mtu. Bali matendo yenu hayana dini ndani yake. Pia hao Waarabu bado wana kesi. Ma babu zetu walikufaje wote kwa wakati mmoja na hakuna mbegu Uarabuni za Black.Hilo halikuhusu, niwe mzungu, mwafrika, mwarabu au mchina ila ukweli utapewa kama sio mimi sol de Mayo wapo wengine watakupa! So, Usome vizuri uislamu upate kujua,,,na sio kuchukia watu
Bhujiku ng'waka
Pia hao Waarabu bado wana kesi. Ma babu zetu walikufaje wote kwa wakati mmoja na hakuna mbegu Uarabuni za Black.
Siyo chuki. Ndio ukweli. Ww hiyo ATM unayo tumia ya 1960s ulikuwepo wakati ina gunduliwa? Hao Waarabu hata ma house girl wa ki Africa wana wanyanyasa sana. Ni ma mbwa sana. Nchi zingine zinashitakiwa kwa utumwa na kulipa. Uturuki imeomba msamaha juzi. Waarabu wana kesi bado ya kueleza Black Slaves walienda wapi wote kwa mkupuo.Acha kueneza chuki, wakati wanateswa ulikuwepo?
Huu ndiyo ukweli halisi. Nenda Kwila, Bagamoyo, Lindi, Mtwara na Zanzibar kuna majengo yapo yamebaki kama ukumbusho.Waarabu walikuwa wafanyabiashara wakubwa wa biashara ya utumwa na ujangili wa wanyamapori.
Hiyo historia itabaki hivyo, penda usipende.
Tunisia wanapata wasiwasi kwa wamahiaji wa kiafrika wanaokwenda nchi za ulaya kuweka kambi kwenye nchi zao. Wanahofia uarabu wao utapotezwa na wafrika baada ya kuzaa na dada zao.Siyo chuki. Ndio ukweli. Ww hiyo ATM unayo tumia ya 1960s ulikuwepo wakati ina gunduliwa? Hao Waarabu hata ma house girl wa ki Africa wana wanyanyasa sana. Ni ma mbwa sana. Nchi zingine zinashitakiwa kwa utumwa na kulipa. Uturuki imeomba msamaha juzi. Waarabu wana kesi bado ya kueleza Black Slaves walienda wapi wote kwa mkupuo.
Kabisa. Hata sisi Watanzania tuwakatae Waarabu. Hawana utu. Rasilimali za Tz zitakuweje tamu kwao, ila utu kwa Wa Africa hawana? Timua muarabu Tz.Tunisia wanapata wasiwasi kwa wamahiaji wa kiafrika wanaokwenda nchi za ulaya kuweka kambi kwenye nchi zao. Wanahofia uarabu wao utapotezwa na wafrika baada ya kuzaa na dada zao.
Kama kwenye karne hii wanawasiwasi, je kipindi kile cha utumwa si walikuwa wanawaua kabisa. Sasa hivi wanafanyia fujo ili waondokee nchi kwao.
Ukitaka kuona mwaarabu anaroho mbaya angalia mashindano ya mpira CAF, wanachoma mabaruti, moshi uwanja mzima mpaka kero. Ila wakiaenda nchi za wafrika hakuna baruti, wanacheza vizuri tu.