FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jul 31, 2023 Thread starter #441 FaizaFoxy said: Unaonesha ujinga uliosomeshwa umekujaa tele. Hata kuitazama video hujaitazama umeshapata majibu. Hakuna Profesa wa "kidini" hapo, sema kweli tu, ujinga uliojazwa unashindwa kutumia neno Wakiislam, ndiyo hayo hayo yanayoongelewa kwenye hiyo video. Click to expand... Hapana, Uislam haufundishi mtu ujinga, unamfundisha kuwa huru na kuamini kila mtu. Tatizo Waislam wa Tanzania tulifanya dhambi kabla na baada tu ya uhuru.
FaizaFoxy said: Unaonesha ujinga uliosomeshwa umekujaa tele. Hata kuitazama video hujaitazama umeshapata majibu. Hakuna Profesa wa "kidini" hapo, sema kweli tu, ujinga uliojazwa unashindwa kutumia neno Wakiislam, ndiyo hayo hayo yanayoongelewa kwenye hiyo video. Click to expand... Hapana, Uislam haufundishi mtu ujinga, unamfundisha kuwa huru na kuamini kila mtu. Tatizo Waislam wa Tanzania tulifanya dhambi kabla na baada tu ya uhuru.
N Necromancer JF-Expert Member Joined Sep 20, 2018 Posts 3,187 Reaction score 3,138 Jul 31, 2023 #442 FaizaFoxy said: Hapana, Uislam haufundishi mtu ujinga, unamfundisha kuwa huru na kuamini kila mtu. Tatizo Waislam wa Tanzania tulifanya dhambi kabla na baada tu ya uhuru. Click to expand... Mlitakiwa kufanya nini baada ya uhuru mzee wangu?
FaizaFoxy said: Hapana, Uislam haufundishi mtu ujinga, unamfundisha kuwa huru na kuamini kila mtu. Tatizo Waislam wa Tanzania tulifanya dhambi kabla na baada tu ya uhuru. Click to expand... Mlitakiwa kufanya nini baada ya uhuru mzee wangu?