Mahaba ni kupenda kunako ambatana na mvuto wa ndani wa kihisia.Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba.
Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi...
Bahati mbaya enzi zetu tumeenda shule peku, nimesoma na vibonge kadhaa na wote ni untouchable sasa hivi kwenye swala zima la maisha. Bwana mmoja akiitwa "Allen kihwelu" alikuwa mnene na moto darasani, sasa hivi ni rubani Australia.🤣Vuta kumbukumbu ya wale vibonge mlosoma nao
Walikua wanapenda kulala lala, wanapenda muda wa mapumziko, wavivuuuu , muda wote kwenye mabeg Wana vyakula , kwenye kitabu Sasa ,sifuri kabisa.
Mmeshavamia na kuharibu uzi wa bi mkubwa.Kua mtoto Huwa sio shida Mkuu.
Ndio Sababu Kuna Uovu Huwa unapatilizwa Kwa vizazi na vizazi...
Du hii kibokoIla ukitaka kuachana na Binti wa kiislam tandika mashuka yenys picha ya Nguruwe.
Mahaba ngwengwele ...chalii
Mahaba ni kama wewe ambaye, Hata ukiona Rangi nyeupe upo tayari Kusema ni nyeusi ili mradi tu aloukuuliza, hiyo ni rangi gan?? Awe kavaa Kanzu, Kibaragashia, alafu anapiga Takbiiiiiir
Mahaba ni kufanya namna ya kufanya kila la kumfurahisha Mpenzi wako.
Kumpikia vizuri, kumdekeza, kumheshimu, kumkarimu, kumpa tendo, kumtania, kumilisha, kumbeba, kumuogesha , kumchezea, n.k.
Kua mtoto Huwa sio shida Mkuu.
Ndio Sababu Kuna Uovu Huwa unapatilizwa Kwa vizazi na vizazi .
...
Eti jamani 🤔Watoto wanene kama Huwa, Huwa Darasani ni Mbumbumbu sana.
Mahaba ni hali ya kumjali,kumthamini na kumuheshimu mtu ambaye utashare nae baadhi ya vitu vilivyo katika mwili wako na kukabidhiana hisia zenu.[emoji3590]Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba.
Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika, nikaishia na neno "mahaba" lakini nia na dhumuni halikuwa kutafuta neno sahihi, nia na ndhumi ni kutaka kujifunza ni nini maana halisi ya mahaba (love), ili nami niweze kuelewesha kwa ninavyofahamu. Njia yangu ya kuelezea itakuwa kwa njia ya maswali na majibu na kufahamisha /kufahamishwa kwa uwazi.
Ni nini maana ya mahaba kivyako wewe?
Uko vizuri kijana,leo umeandika point tokea nimeingia humu JFHivi mahaba ndio love eeh!??
Kupenda ni kujali, kuheshimu,kuthamini,kulinda etc, ndio kupenda huko.
Sasa mahaba ni upendo uliokomaa sijui niseme hivyo, ni kama daraja la juu ya upendo.
Yanaanza mapenzi kisha ndio mahaba.
Dah!! Mzee mwenzangu umeamua kunivua nguo..Uko vizuri kijana,leo umeandika point tokea nimeingia humu JF
Faiza haipendi CCM kwa vile ni chama kizuri, anaipenda CCM kwa vile inaongozwa na muislam kama vile anavyoshabikia DP world kwa vile ni waarabu hivyo kuamini ni waislam pia. Anasahau kuwa uislam sio jina/mtu bali ni vitendo kama ilivyo uarabu ni kabila na sio dini.Mahaba ni kumpenda mtu au taasisi unconditionally kama vile unavyoipenda CCM hata kama ni mafisadi wa kutupwa. CCM hata wakiuza nchi nzima kwa waarabu kwa vipande 30 vya fedha, wewe bado utabakia kuwa na mahaba nao milele.
Kumbe watu kwenye mambo ya mahaba mko vizuri eeh,naona kila mtu anajaribu kushusha nondo za hatari. [emoji28]Dah!! Mzee mwenzangu umeamua kunivua nguo..
Ila fresh sio kesi.[emoji1787][emoji1787]
Mbona nondo zipo nyingi tu, sema we hujawahi kunigumia.🤣Kumbe watu kwenye mambo ya mahaba mko vizuri eeh,naona kila mtu anajaribu kushusha nondo za hatari. [emoji28]
[emoji28] dahTenderness kumbe ni mahaba
So nikiambiwa tenderness in upper limb
Ni mahaba kwenye mikono (yani amebebelea huba)
[emoji23]Mahaba ni kumpenda mtu au taasisi unconditionally kama vile unavyoipenda CCM hata kama ni mafisadi wa kutupwa. CCM hata wakiuza nchi nzima kwa waarabu kwa vipande 30 vya fedha, wewe bado utabakia kuwa na mahaba nao milele.