Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba.

Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi...
Mahaba ni kupenda kunako ambatana na mvuto wa ndani wa kihisia.
 
🤣Vuta kumbukumbu ya wale vibonge mlosoma nao

Walikua wanapenda kulala lala, wanapenda muda wa mapumziko, wavivuuuu , muda wote kwenye mabeg Wana vyakula , kwenye kitabu Sasa ,sifuri kabisa.
Bahati mbaya enzi zetu tumeenda shule peku, nimesoma na vibonge kadhaa na wote ni untouchable sasa hivi kwenye swala zima la maisha. Bwana mmoja akiitwa "Allen kihwelu" alikuwa mnene na moto darasani, sasa hivi ni rubani Australia.

Nilisoma na mtoto wa Mzee wa Ditopile akiitwa "Ally" mnene na alikuwa untouchable darasani...,sasa hivi anamiliki kampuni ndani na nje ya nchi.

Nilisoma na bwana mmoja akiitwa "Bill kiwia" ni mnene na alikuwa untouchable! Sasa hivi anafanya ofisi ya rais Znz, nilisoma na bwana mmoja akiitwa "Jaffar said" alikuwa na kamwili sasa hivi ni Registrar IFM na ana PhD kutoka ulaya na hapo katikati kasomasoma nje sana na alikuwa untouchable!

Mwili na uwezo au jitihada ya mtu darasani haviingiliani.

Nakanusha na kuwasilisha 😊👍🏾
 
 

Attachments

  • VID-20230819-WA0022.mp4
    16.3 MB
Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba.

Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika, nikaishia na neno "mahaba" lakini nia na dhumuni halikuwa kutafuta neno sahihi, nia na ndhumi ni kutaka kujifunza ni nini maana halisi ya mahaba (love), ili nami niweze kuelewesha kwa ninavyofahamu. Njia yangu ya kuelezea itakuwa kwa njia ya maswali na majibu na kufahamisha /kufahamishwa kwa uwazi.

Ni nini maana ya mahaba kivyako wewe?
Mahaba ni hali ya kumjali,kumthamini na kumuheshimu mtu ambaye utashare nae baadhi ya vitu vilivyo katika mwili wako na kukabidhiana hisia zenu.[emoji3590]
 
Hivi mahaba ndio love eeh!??

Kupenda ni kujali, kuheshimu,kuthamini,kulinda etc, ndio kupenda huko.

Sasa mahaba ni upendo uliokomaa sijui niseme hivyo, ni kama daraja la juu ya upendo.
Yanaanza mapenzi kisha ndio mahaba.
Uko vizuri kijana,leo umeandika point tokea nimeingia humu JF
 
Mahaba ni kumpenda mtu au taasisi unconditionally kama vile unavyoipenda CCM hata kama ni mafisadi wa kutupwa. CCM hata wakiuza nchi nzima kwa waarabu kwa vipande 30 vya fedha, wewe bado utabakia kuwa na mahaba nao milele.
Faiza haipendi CCM kwa vile ni chama kizuri, anaipenda CCM kwa vile inaongozwa na muislam kama vile anavyoshabikia DP world kwa vile ni waarabu hivyo kuamini ni waislam pia. Anasahau kuwa uislam sio jina/mtu bali ni vitendo kama ilivyo uarabu ni kabila na sio dini.
 
Kumbe watu kwenye mambo ya mahaba mko vizuri eeh,naona kila mtu anajaribu kushusha nondo za hatari. [emoji28]
Mbona nondo zipo nyingi tu, sema we hujawahi kunigumia.🤣
Si nondo za mahaba tu, kuna nondo za kila aina hapa.
 
Mahaba ni kumpenda mtu au taasisi unconditionally kama vile unavyoipenda CCM hata kama ni mafisadi wa kutupwa. CCM hata wakiuza nchi nzima kwa waarabu kwa vipande 30 vya fedha, wewe bado utabakia kuwa na mahaba nao milele.
[emoji23]
 
Back
Top Bottom