Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipo Tupo.Nimefualilia mechi za Yanga katika viwanja vya ugenini na kuona wingi wa mashabiki wao. Inawezekana ni kweli kuwa Yanga ndo wenye mashabiki wengi zaidi hadi miaka hii? Tusaidiane kutafakari
Ulipo Tupo.
Wewe siyo wa kwanza kushangaa marufiko mikoani, aliwahi kuyashangaa Papaa Mwinyi Zahera, akasema huwezi kukuta mafuriko ya mashabiki wa TP Mazembe nje ya Lubumbashi. Yanga ni timu ya taifaNimefualilia mechi za Yanga katika viwanja vya ugenini na kuona wingi wa mashabiki wao. Inawezekana ni kweli kuwa Yanga ndo wenye mashabiki wengi zaidi hadi miaka hii? Tusaidiane kutafakari
Wewe siyo wa kwanza kushangaa marufiko mikoani, aliwahi kuyashangaa Papaa Mwinyi Zahera, akasema huwezi kukuta mafuriko ya mashabiki wa TP Mazembe nje ya Lubumbashi. Yanga ni timu ya taifa
Na bila kusahau kuwa Simba SC ndiyo timu dume ya taifa hili.Wewe siyo wa kwanza kushangaa marufiko mikoani, aliwahi kuyashangaa Papaa Mwinyi Zahera, akasema huwezi kukuta mafuriko ya mashabiki wa TP Mazembe nje ya Lubumbashi. Yanga ni timu ya taifa
Wan uwezo mdogo wa elimu, uchumi duni na umri umeenda, hawana interest na mitandao ya kijamii.Inashangaza sana. Yanga ina watu...japo mitandani hawaonekani sana
Utopolo buanna!
Wan uwezo mdogo wa elimu, uchumi duni na umri umeenda, hawana interest na mitandao ya kijamii.
Kwa hiyo macho yako ndio takwimu, hakika utopolo ni utopolo.
Mtu mwenye elimu duni inawezekana siyo shabiki halisi, wanakuwa outsmarted na marafiki zao wachache wajuaji na wabishi wa utopolo.[emoji41]Lkn vipi kuhusu possibility ya wao kuwa wengi kuliko mashabiki wa timu nyingine?
Mtu mwenye elimu duni inawezekana siyo shabiki halisi, wanakuwa outsmarted na marafiki zao wachache wajuaji na wabishi wa utopolo.[emoji41]
Kwa hiyo kuongoza mapato msimu mmoja ndio taarifa rasmi ya kuwa na mashabiki wengi?Mbona hata takwimu rasmi huwa mnazikataa? Rejea takwimu za bodi ya ligi juu ya Yanga kuongeza uingizaji mapato kwenye mechi za nyumbani msimu uliopita.
Kasoro kwenye ubingwa hampoUlipo Tupo.