Tafakuri ya Mafuriko ya mashabiki wa Yanga katika mechi za ugenini

Tafakuri ya Mafuriko ya mashabiki wa Yanga katika mechi za ugenini

mjogoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
882
Reaction score
652
Nimefualilia mechi za Yanga katika viwanja vya ugenini na kuona wingi wa mashabiki wao. Inawezekana ni kweli kuwa Yanga ndo wenye mashabiki wengi zaidi hadi miaka hii?

Tusaidiane kutafakari
 
Nimefualilia mechi za Yanga katika viwanja vya ugenini na kuona wingi wa mashabiki wao. Inawezekana ni kweli kuwa Yanga ndo wenye mashabiki wengi zaidi hadi miaka hii? Tusaidiane kutafakari
Wewe siyo wa kwanza kushangaa marufiko mikoani, aliwahi kuyashangaa Papaa Mwinyi Zahera, akasema huwezi kukuta mafuriko ya mashabiki wa TP Mazembe nje ya Lubumbashi. Yanga ni timu ya taifa
 
Wewe siyo wa kwanza kushangaa marufiko mikoani, aliwahi kuyashangaa Papaa Mwinyi Zahera, akasema huwezi kukuta mafuriko ya mashabiki wa TP Mazembe nje ya Lubumbashi. Yanga ni timu ya taifa
Na bila kusahau kuwa Simba SC ndiyo timu dume ya taifa hili.
 
Lkn vipi kuhusu possibility ya wao kuwa wengi kuliko mashabiki wa timu nyingine?
Wan uwezo mdogo wa elimu, uchumi duni na umri umeenda, hawana interest na mitandao ya kijamii.
 
Mbona hata takwimu rasmi huwa mnazikataa? Rejea takwimu za bodi ya ligi juu ya Yanga kuongeza uingizaji mapato kwenye mechi za nyumbani msimu uliopita.
Kwa hiyo macho yako ndio takwimu, hakika utopolo ni utopolo.
 
Lkn vipi kuhusu possibility ya wao kuwa wengi kuliko mashabiki wa timu nyingine?
Mtu mwenye elimu duni inawezekana siyo shabiki halisi, wanakuwa outsmarted na marafiki zao wachache wajuaji na wabishi wa utopolo.[emoji41]
 
Back
Top Bottom