Kwa maana hiyo kulingana na swali lako au mada yako ulitegemea nani akusaidie kutafakari? Je ni Mashabiki wa Yanga? kwa namna ulivojibu umeeleweka vizuri na nashindwa kuelewa lengo la Thread yako ni ipi Kama unajua kuwa huwezi kupata majibu humu?
ispokuwa nilichoelewa we ulikuwa unataka comments za Wana Yanga ambao ni wafata Mkumbo tu na mihemko na sio watoa facts, ndomana ata huko mwanzo kuna baadhi ya wachangiaji wamejibu kwa mahaba na umeungana nao
Correction hapo, ata kipindi cha Manji Mambo yalikuwa tofauti, me nimehamia Dar mwaka 2016 na tangia hapo nashkuru Mungu sijawahi kukosa mechi ya watani, lakini kuanzia hapo hakuna mechi ambayo Yanga waliwazidi Simba idadi ya washabiki, na ukitaka proof we kaangalie tu highlight YouTubeNdo maana mimi nimesema labda ingefanyika scientific study. Na pia nimeleta hapa jukwaani tusaidiane kutafakari coz kwa nilivoona mimi Yanga wamepata mass kubwa sana mikoani. Duatilia mechi zote za msimu huu mikoani. Na hata pale kwa Mkapa, kipindi wanafanya vizuri....enzi za Manji walikuwa wanajaa sana ktk mechi zote including za watani wa jadi. Overall, labda kwa miaka kama kumi hivi, Yanga anaweza kuwa wameondoka kwa takwimu zote I.e mahudhurio na hata mapato
Kwa maana hiyo kulingana na swali lako au mada yako ulitegemea nani akusaidie kutafakari? Je ni Mashabiki wa Yanga? kwa namna ulivojibu umeeleweka vizuri na nashindwa kuelewa lengo la Thread yako ni ipi Kama unajua kuwa huwezi kupata majibu humu?
ispokuwa nilichoelewa we ulikuwa unataka comments za Wana Yanga ambao ni wafata Mkumbo tu na mihemko na sio watoa facts, ndomana ata huko mwanzo kuna baadhi ya wachangiaji wamejibu kwa mahaba na umeungana nao
Correction hapo, ata kipindi cha Manji Mambo yalikuwa tofauti, me nimehamia Dar mwaka 2016 na tangia hapo nashkuru Mungu sijawahi kukosa mechi ya watani, lakini kuanzia hapo hakuna mechi ambayo Yanga waliwazidi Simba idadi ya washabiki, na ukitaka proof we kaangalie tu highlight YouTube
kwahiyo inawezekana pia ata kipindi cha Manji Yanga haikuongoza kwa mapato Wala kuingiza mashabiki wengi kuliko Simba kwa miaka yote ambayo Manji alikuwa sponsor, so bado hakuna proof nani ana washabiki wengi, tusubiri hadi pale ambapo statistics zitakuja kufanywa kwa kufata taratibu
Eti roho mbaya, sasa mayele kama anachekesha nisicheke?
Ana hamasisha mashabiki wamshangilie hata pale ambapo hajafunga goli na we unaina kawaida tu?
Hebu tupe proof.Ukisema utumie statistics za kuingiza mapato uwanjani msimu uliopita haiwezi kuwa hoja yenye mashiko kwakuwa kwa miaka 4 nyuma hiyo record ilikuwa ikishikiliwa na Simba kwahiyo huwezi kusema ndani ya msimu mmoja eti washabiki wa Yanga wameongezeka
Kwani ya Yanga kuongoza msimu uliopita ulijuaje? Si tff walitangaza mkuu basi ni the same misimu ya nyuma pia walikuwa wakitangaza cha kukusaidia Kama ulikuwa hujui basi fatilia source za tff au ata Google naimani utapata hukoHebu tupe proof.
Kwani ya Yanga kuongoza msimu uliopita ulijuaje? Si tff walitangaza mkuu basi ni the same misimu ya nyuma pia walikuwa wakitangaza cha kukusaidia Kama ulikuwa hujui basi fatilia source za tff au ata Google naimani utapata huko
Na kumbuka sipo hapa kubishana ispokuwa nipo hapa kuchangia hoja aliyoleta mtoa mada, na ndomana hujaona tukichangia hoja kwa mihemko ispokuwa facts na matukio, kwahiyo Kama naww una hoja yako changia Kisha tutoe maoni
Kwa Heshima kubwa kwako pia hadi tulipofkia sitarajii kuulizwa hivi na wewe, kwa sababu 1 tu kubwa, nilitegemea hadi kuja kuanzisha mada ya team ipi ina washabiki wengi nilijua hili ni Jambo ambalo unalijua kabla ndomana kwenye kujenga hoja zako uliongelea takwimu za TFF kuwa Yanga aliongoza kuingiza mapato kuliko Team ingine msimu uliopita, kwa maana hiyo ulitakiwa kujua pia kama Yanga kaongoza last season je previously seasons ulijuaje? Aliongoza Nani?Kwa heshima kubwa nakuomba tusaidie hapa official data za miaka miwili tu ukiondoa msimu uliopita
Kwa Heshima kubwa kwako pia hadi tulipofkia sitarajii kuulizwa hivi na wewe, kwa sababu 1 tu kubwa, nilitegemea hadi kuja kuanzisha mada ya team ipi ina washabiki wengi nilijua hili ni Jambo ambalo unalijua kabla ndomana kwenye kujenga hoja zako uliongelea takwimu za TFF kuwa Yanga aliongoza kuingiza mapato kuliko Team ingine msimu uliopita, kwa maana hiyo ulitakiwa kujua pia kama Yanga kaongoza last season je previously seasons ulijuaje? Aliongoza Nani?
Hivo nilitegemea me naposema Simba iliongoza kwa miaka 4 kuingiza mapato, wewe ungekuja na kunambia sio kweli me nina hizi hapa data zinasema Yanga mwaka flani aliongoza yeye na sio Simba, then ukinambia hivo mie nirudi kwenye data zangu nije kukupa proof, TFF Kila mwisho wa msimu waga wanatoa hizo data Sasa napata mashaka Kama ulijiandaa vizuri na hii Hoja, sa sijui Kama waga unafatilia mpira wetu au umekuja na Thread tu baada ya kuona Yanga imeingiza mashabiki wengi Mkoani

Unafurahisha Mjogoro, anyway me pia sina data Mkuu wala Link, acha tulet X kuwa Yanga aliongoza kwa mapato misimu yote, then nakaa kando nasubiri conclusion yako juu ya utafiti wakoAu basi nipe hata link ya kuweza kupata data husika. Ni msaada tu
Siyo kwamba hawapendi shoboWan uwezo mdogo wa elimu, uchumi duni na umri umeenda, hawana interest na mitandao ya kijamii.
Wivu utakuua kolo wewe kwani ukikubali ukweli unapungukiwa nini ?Mtu mwenye elimu duni inawezekana siyo shabiki halisi, wanakuwa outsmarted na marafiki zao wachache wajuaji na wabishi wa utopolo.[emoji41]
Unafurahisha Mjogoro, anyway me pia sina data Mkuu wala Link, acha tulet X kuwa Yanga aliongoza kwa mapato misimu yote, then nakaa kando nasubiri conclusion yako juu ya utafiti wako
Mkuu me mchango wangu umeishia hapa napisha wachangiaji wengine ambao watakuja na facts zingine kuongezea nyama, na kwakuwa uzi ni wako basi nategemea wewe ndio ulitakiwa uwe umejiandaa vizuri juu ya details nyingiMmmmmh Mi nipo serious. Tunasaidiana hapa. Afu so lazima uleta data sasaivi. Explore hizo data kokote unakodhani zinapatikana uzimwage hapa. Ukiweza saidia wanajamvi kupata ufahamu wa wasichokijua
Mkuu me mchango wangu umeishia hapa napisha wachangiaji wengine ambao watakuja na facts zingine kuongezea nyama, na kwakuwa uzi ni wako basi nategemea wewe ndio ulitakiwa uwe umejiandaa vizuri juu ya details nyingi
na Kama tushakubaliana huko juu kuwa ili kupata uhakika wa takwimu lazima zihusike scientific research Sasa sioni haja ya kuendelea kujadili Kama waganga wa kienyeji hapa kwakuwa tunajua hatutapata majibu ya uhakika, ukipata conclusion nitarudi
zuzuNgoja aje kolo mmoja anaitwa Scars aje apondee hii topic