- Thread starter
- #41
Nilitaka inputs. Kuna watu wanaleta mawazo yao hata kama yako biased lkn wa hoja. Tunaweza kupata facts za kutosha ku-draw conclusion. Hata nilivoshauri.....kufanyike utafiti.....lengo ni kutafuta facts
Kwa maana hiyo kulingana na swali lako au mada yako ulitegemea nani akusaidie kutafakari? Je ni Mashabiki wa Yanga? kwa namna ulivojibu umeeleweka vizuri na nashindwa kuelewa lengo la Thread yako ni ipi Kama unajua kuwa huwezi kupata majibu humu?
ispokuwa nilichoelewa we ulikuwa unataka comments za Wana Yanga ambao ni wafata Mkumbo tu na mihemko na sio watoa facts, ndomana ata huko mwanzo kuna baadhi ya wachangiaji wamejibu kwa mahaba na umeungana nao