Tafakuri yangu: Kifo cha Job Ndugai ( Spika Mstaafu)

Angalia usije ukakojoa kitandani
 
Naipa pole familia yake Ila pia nasikitika kuona alikua na familia ya watu wajinga ambao kikawaida wangemshauri aachane na ubunge na kuangalia Afya yake.
Una uhakika gani kua familia yake haimkumshauri hivyo ila hakutaka kuwasikia?
Unawezaje kuiita familia ya watu kua ni wajinga kwa kitu ambacho huna uhakika nacho?

Have you got any investigation about that u have written above?
Wewe ni Conspiracy theorist,unapenda kuongea assumption kuliko fact.
 
ameandika vema kabisa.

Lilikuwa katili la kutisha! Wala sishangai, waache aliowatenda vibaya (kama alivyomtendea unyama Lisu, mfano mmoja tu) wafurahi.
Huyu ndiye alilazimisha wale wabunge 11 wa upinzani wabaki bungeni kinyume na katiba ya nchi,ni ndiye eeh!
 
Waliweka injini mpya?
Maana hiyo pesa duh..!
Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.

Akiwa India alikuwa na wasaidizi wawili – maana alihamishia ofisi yake huko huko hotelini. Kwa gharama ya dola 450 sawa na Sh. 1,044,090.00 kila moja kwa siku, walilipwa dola 900 sawa na Sh. 2,088,180.00 kwa siku. Kwa siku 150 walizokaa India, walilipwa dola 135,000 sawa na Sh. 292,950,000.

Kwa ujumla, matibabu ya Ndugai kwa miezi mitano huko India yalitumia posho za sh. 466,965,000. na hapo bado gharama za hospitali huko India, na tiketi za ndege kwa watu wote hao, na bado gharama alizokuwa anatumia mkewe.

Takwimu hizi zilikuwa ni kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India.

Wakati huo huo tusisahau kuwa Bw. Job Ndugai aliendelea kupata mshahara wake na posho zake kama Spika wa Bunge ambazo idadi yake naomba kama kuna watu humu wanazijua watusaidie kuzitoa.

Hakuna anayejua kwa uhakika Bw. Job Ndugai alikuwa anaumwa ugonjwa gani uliosababisha hadi ofisi yake ihamishiwe 5-star hotel nchini India ambako alichukua VIP suite nzima. Mpaka sasa gharama za matibabu yake ni siri kama ulivyo ugonjwa wake.
 
Umenikumbusha ile hela ya matibabu,
Sijui kafa je, Mungu mwenyewe anajua.
Lala lala lalaaa Maana Matendo Yako Yatakufuata.
 
tomorrow is a mystery", so be glad to find yourself still alive every
 
Mlevi wa pili katangulia kamuacha mlevi wa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…