Tafakuri yangu: Kifo cha Job Ndugai ( Spika Mstaafu)

Huyu alikuwa katili sana zama za magu .Sasa acha aende kumsalimia dikteta mwenzake.

Amewatesa wapinzani kwa maamuzi ya kipuuzi .Nenda ukakutane na moto.

Bado makonda nasema hivi mtaisha wote.Mungu hadhihakiwi. Pumzikeni motoni magu na mwenzako ndugai.

Muda si mrefu atawafuata mwenzenu .
 
Wewe ni jipu eeh
 
Kwa niaba ya Lucas Mwashambwa Tlaatlaah wanakazia na chawa wote waandamizi, ninakazia!
kila nafasi itaonja umauti kwa wakati muafaka bila kiherehere wala kielele gentleman.

It's true, KIFO ni KIFO tu na kila mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi gentleman 🐒
 
 

Kwenye hili la kufa, Mwenyezi Mungu amewazidi wanadamu wote maarifa. Pamoja na mbwembwe zetu zote, kila nafsi itaonja mauti.

Tuishi kwa utu, kujali na kujua kwamba, kwenye haya maisha, tufanye yale tunayotakiwa kufanya, halafu tukapumzike zetu salama huko wote tutakakokwenda.

Ubinafsi huu uliopitiliza, ambao sasa unaonekana wazi wazi, especially kwa wanufaika wa haya na yale yasiyo ya taratibu, yanaumiza watu wengi.

Hii inaweza ikawa cha mtoto....yangu macho.
 
Apumzike kwa amani
Ikumbukwe ya kwamba marehemu Job Ndugai ndiye mgonjwa ghali zaidi duniani anayeshikia rekodi ya Guiness book of records kwa kutumia takribani shilingi BILIONI 26 na ushee kutibiwa nchini India
 
 
kumbukwe ya kwamba marehemu Job Ndugai ndiye mgonjwa ghali zaidi duniani anayeshikia rekodi ya Guiness book of records kwa kutumia takribani shilingi BILIONI 26 na ushee kutibiwa nchini India
halafu namna alivyokuja kumnyanyapaa Tundu Lissu ilikuwa kiburi cha hali ya juu kabisa!
Matendo yake yaandamane nae
 
Mkuu Mshana, kuna kitu bado sijaelewa naomba ufafanuzi. Ndugai alistaafu au alilazimika/alilazimishwa kustaafu? Hebu nielimishe hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…