Tafakuri yangu: Kifo cha Job Ndugai ( Spika Mstaafu)

Maisha ni kama ndoto vile, ila ubaya wapo wengine wanaotupangia tuote vipi hizo ndoto zetu kwa ajili ya mafanikio yao wenyewe pamoja na familia zao . inauma sana si mchezo yote kwa yote pole kwa wafiwa
 
Nitakacho mkumbuka nacho ni kile kiburi alichokuwa nacho kutokana na nafasi yake.Let this serve as a reminder kwa tuliobaki tuwe na kiasi.
 
Ukiona watu wengi wanasema haufai kuwa kiongozi wao ujue hiyo ni sauti ya Mungu na ukilazimisha utakufa kifo cha aibu Sana ndo hivyo unaiba kura unamaliza unakufa.📌🔨
Mbona dr.kiduku Cha pembeni amekataliwa na Bado amesema hatoki kule Siha
 
Ulivyoandika Tanganyika na milioni 26 nimeacha kusoma maana ni zombie tu limekaa sehemu linajiandikia porojo za kiwendawazimu. JF imekwisha
 
Kwanini amekufa! Kwani wakati wa Magufuli yeye na Rais walijiwekea kinga, au walisahau kuweka kipengele cha kifo.
 
Tl alipokua anatibiwa Nairobi alimfuta ubunge akidai hajui alipo
 
Hata maraisi huwa ugonjwa unatajwa
Sasa kwa $12m huo ni ugonjwa wa aina gani?

Ila nchi masikini shida sana.
Mtu anakufa halafu wanatoa na sababu kabisa cha kifo bila kuthibitishwa na daktari.

Nchi nilizoishi nyingi mtu akifa pengine zaidi ya hospital basi lazima wafiwa watoe ripoti ili marehemu ajulikane amekufa kufaje

Kuanzia Ulaya na hata Uarabuni nimeona haya
Lazima mwili ufanyiwe postmortem lazima hata awe masikini
Binadamu lazima athaminiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…