Tafakuri yangu kwa Mashtaka ya Ole Sabaya

Hata ibilisi hakosi wafuasi, uliowataja ni wafuasi wa Ibilisi mwendazake bila chenga.
 
ENde
Endeleeni kupamba lkn mwisho wa siku hamtaamini itakapokua dismiss case
 
Nikufundishe mambo mawili pamoja na kuona wewe ni msomi lakini bado hukaelimika.
1.Kaa kimya subiri Mahakama itoe majibu ili kalamu yako ijaze wino vyema kuandikia mambo ambayo ya tuhuma.

2.Siku zote angalia direction ya mishale ndo ujipange kushambulia.

Zingatio kwako.

Sabaya alikua ngome ya mwenyekiti mbowe,Zingatia pia wanaomuattack Zaid ni wafanya biashara ambao kwa ushawishi wa fedha zao wanaeza anzisha vita yoyote.

Zingatia pia,Kwa hii vita ya wanasiasa(wafanya biashara) na sabaya inawaeka ktk wakati ngumu sana viongozi wengine ktk mapambano na wafanya biashara.
Hawatoweza kuwagusa na wananchi wa chini watazidi kuwaogopa sana wafanya biashara.

Narudia tena WaTZ tuhuma siyo conclusion.Ukipata muda kapitie movie ya Andhakanoon utajifunza mengi mule
 
Mkuu, baki na maoni yako na mimi nabaki na yangu hayo. Umeona kuna mahali nimemkuta na hatia? Uwe unasoma vyema
 
Mzee uandishi wako ni mzuri sana...nimejikuta nafurahia uandishi na nimetamani mada zote humu zingekuwa zinapitia kwako kisha unaziEdit
 
You are right!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mbele ya Pombe huyu jamaa alikuwa lulu kwa matendo yake haya haya. Sasa hivi labda angekuwa RC au even waziri kupitia viti maalumu.
Halafu Bashite angepewa u PM kabisa before 2023.

Sema Mungu ni fundi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…