Bratherkaka Senior Member Joined Apr 30, 2012 Posts 101 Reaction score 10 Mar 21, 2013 #1 Habari! Msaada kati ya maneno mawili kati ya kuzini na unzinzi.
K Kifyatu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,382 Reaction score 3,220 Mar 21, 2013 #2 Bratherkaka said: Habari! Msaada kati ya maneno mawili kati ya kuzini na unzinzi. Click to expand... Kuzini ni kitendo (verb) mfano [Juma alishitakiwa kwa kuzini na mke wa mtu] Uzinzi ni noun [Uzinzi ni m-baya kama ilivyo "pombe ni mbaya"]
Bratherkaka said: Habari! Msaada kati ya maneno mawili kati ya kuzini na unzinzi. Click to expand... Kuzini ni kitendo (verb) mfano [Juma alishitakiwa kwa kuzini na mke wa mtu] Uzinzi ni noun [Uzinzi ni m-baya kama ilivyo "pombe ni mbaya"]
M Mshirazy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 421 Reaction score 70 Mar 22, 2013 #3 Kifyatu said: Kuzini ni kitendo (verb) mfano [Juma alishitakiwa kwa kuzini na mke wa mtu] Uzinzi ni noun [Uzinzi ni m-baya kama ilivyo "pombe ni mbaya"] Click to expand... -------- hili ndo jibu sahihi,kuzini ni kitendo cha kufanya ngono nje ya ndoa wkt uzinzi ni jina(noun),
Kifyatu said: Kuzini ni kitendo (verb) mfano [Juma alishitakiwa kwa kuzini na mke wa mtu] Uzinzi ni noun [Uzinzi ni m-baya kama ilivyo "pombe ni mbaya"] Click to expand... -------- hili ndo jibu sahihi,kuzini ni kitendo cha kufanya ngono nje ya ndoa wkt uzinzi ni jina(noun),
mark_philipo JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 202 Reaction score 33 Mar 22, 2013 #4 uzinzi ni kielezi cha tendo la uzinz,wakat uzinz ni tendo la kufanya mapenz nje ya ndoa
Bratherkaka Senior Member Joined Apr 30, 2012 Posts 101 Reaction score 10 Mar 23, 2013 Thread starter #5 asanteni! kuzini ni kutoka nje ya ndoa na uzinzi kwajina jingine umalaya? sivyo
Bratherkaka Senior Member Joined Apr 30, 2012 Posts 101 Reaction score 10 Mar 23, 2013 Thread starter #6 je kwa wale ambao bado awajaowa wala kuolewa ni wa nzinzi ??