Tafauti kati ya kuzini na unzinzi

Tafauti kati ya kuzini na unzinzi

Habari! Msaada kati ya maneno mawili kati ya kuzini na unzinzi.

Kuzini ni kitendo (verb) mfano [Juma alishitakiwa kwa kuzini na mke wa mtu]

Uzinzi ni noun [Uzinzi ni m-baya kama ilivyo "pombe ni mbaya"]
 
Kuzini ni kitendo (verb) mfano [Juma alishitakiwa kwa kuzini na mke wa mtu]

Uzinzi ni noun [Uzinzi ni m-baya kama ilivyo "pombe ni mbaya"]

--------
hili ndo jibu sahihi,kuzini ni kitendo cha kufanya ngono nje ya ndoa wkt uzinzi ni jina(noun),
 
uzinzi ni kielezi cha tendo la uzinz,wakat uzinz ni tendo la kufanya mapenz nje ya ndoa
 
asanteni! kuzini ni kutoka nje ya ndoa na uzinzi kwajina jingine umalaya? sivyo
 
je kwa wale ambao bado awajaowa wala kuolewa ni wa nzinzi ??
 
Back
Top Bottom