Haya omba mod tuanzishe kampeni hela iwekwe kwenye akaunti yao500k dk 20 tu imekamilika
Mwenyekiti wenu nipo hapaNdugu zangu tuliopo kwenye 10% tujuane
Tumeni picha na majina yenu 3 niwasajiliMi naona bora tukutane kwenye PM yako ili kuepusha aibu. Kisha tuamue Moja iwapo tubaki humu ama tuunde grupu letu la WhatsApp.
Haya ni yangu maoni.
Mimi mhasibu, chama hakiwezi kukaa bila fungu la 10Mwenyekiti wenu nipo hapa
Mimi hapa🏃🤝Ndugu zangu tuliopo kwenye 10% tujuane
Tena muanze kunichangia mimiHaya omba mod tuanzishe kampeni hela iwekwe kwenye akaunti yao
Ikifika ndani ya masaa 72 hiyo laki 5 mimi najitolea laki 3 mwenyewe
Usioeleweka,unaenda kariakoo kutafuta nauli ya kujia kesho tena kariakoo.uchumi mmomonyoko ndio ukoje mam
Katibu aje aandike mihtasariMimi mhasibu, chama hakiwezi kukaa bila fungu la 10
Angetumia upi mkuu?Bwana Mtafiti, "sample size" uliyotumia kufikia matokeo ya utafiti wako imekudanganya. 😊