Tafiti; 90% ya waJF wana maisha mazuri sio njaa kali.

na sisi MASIKINI TUPO humu,japo matajiri wanatusakama sana kwamba eti sisi MASIKINI HATUFANYI KAZI!??nakataa sio kweli kwamba hatufanyi KAZI,sio kweli kwamba umasikini ni LAANA ,nakataa.
 
Kwa utafifi gani ulioufanya? Hakuna kitu kama hicho, wengi wetu maisha magumu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…