Tafiti: Kati ya wasichana 50 basi 12 wamezalia nyumbani bila Ndoa 1980-2000

Tafiti: Kati ya wasichana 50 basi 12 wamezalia nyumbani bila Ndoa 1980-2000

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Tafiti fupi ilofanyika

Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa

Mwaka 1960-1970
Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani

Mwaka 1970-1980
Kati ya wasichana 50 basi 8 wamezalia nyumbani bila ndoa

Mwaka 1980-2000

Kati ya wasichana 50 basi 12 wamezalia nyumbani bila Ndoa je Tatizo ni mmomonyoko wa maadili katika jamii Au ni nini! Yaan Kwa wanaowapa na wanaobeba mimba kabla ya ndoa
 
Idadi ya watu imeongezeka, ratio haiwezi baki vilevile
 
1980-2000 naona kati ya 50 basi hata 20 wamezalia home na hasa kuanzia 1995
 
Tafiti fupi ilofanyika

Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa

Mwaka 1960-1970
Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani

Mwaka 1970-1980
Kati ya wasichana 50 basi 8 wamezalia nyumbani bila ndoa

Mwaka 1980-2000

Kati ya wasichana 50 basi 12 wamezalia nyumbani bila Ndoa je Tatizo ni mmomonyoko wa maadili katika jamii Au ni nini! Yaan Kwa wanaowapa na wanaobeba mimba kabla ya ndoa
Kipindi hicho idadi ya watu watu ilikuwaje?
 
Kadr sku znavyozd kwenda mambo yanabadilika, maadili yanapungua.

Kwa kuwa wale watoto waliozalia nyumbani miaka ya 80, ndyo wamama wa watoto wanaozalia nyumbani miaka ya 2000.
Zaman ilikuwa inastaajabisha maana wazaz wote walizaa wakiwa ndani ya ndoa, lkn sasa hv haishangaz maana mama alizalia nyumbani kwahyo hata watoto wake wakizalia nyumbani haimshangazi.

Sasa hv utashangaliwa mnoo endapo una miaka 25 na hauna mtoto wa ujana( wenyewe wanaita watt wa ujanani), yan nikikutana na watu niliyosoma nao wanashangaa eenh! Ujapata katoto bado😳 unasubir nn?! Yan inaonesha n jins gani hali ya kupata mtoto kabla ya ndoa n jambo la kawaida kwa kizaz tulichonacho sasa, kat ya mabint 5 n mmoja tu asiye na mtoto aliyezalia nyumbani.
 
Back
Top Bottom