Kadr sku znavyozd kwenda mambo yanabadilika, maadili yanapungua.
Kwa kuwa wale watoto waliozalia nyumbani miaka ya 80, ndyo wamama wa watoto wanaozalia nyumbani miaka ya 2000.
Zaman ilikuwa inastaajabisha maana wazaz wote walizaa wakiwa ndani ya ndoa, lkn sasa hv haishangaz maana mama alizalia nyumbani kwahyo hata watoto wake wakizalia nyumbani haimshangazi.
Sasa hv utashangaliwa mnoo endapo una miaka 25 na hauna mtoto wa ujana( wenyewe wanaita watt wa ujanani), yan nikikutana na watu niliyosoma nao wanashangaa eenh! Ujapata katoto bado😳 unasubir nn?! Yan inaonesha n jins gani hali ya kupata mtoto kabla ya ndoa n jambo la kawaida kwa kizaz tulichonacho sasa, kat ya mabint 5 n mmoja tu asiye na mtoto aliyezalia nyumbani.