Kwa experience yangu:
1. Babati to Arusha.... kama ni usiku mida ya saa 7 na kuendelea, hiko kipande waweza kumaliza kisahani, japo kuna bumps kadhaa chache.
2. Tinde to Kahama to Runzewe...
Huu mkeka ni nowma. Ni lami very smooooth, hakuna bump hata moja mpaka Runzewe. Barabara hiyo magari mengi ni semi za Rwanda, Uganda, na Burundi. Kwa usiku mnene kipande hiki ndipo huwa naipush ist to my top speed as per my control ability. Ni kipande chenye lami tamu mnoooo! I assure that kipande hiki kwa skilled driver mwenye ujasiri anamaliza kisahani bila shida yoyote kwa gari hizi za speed 180.