Baada yakujifunza kwa muda kidogo, nimegundua the only thing that matters is who is behind the wheel
Ukiacha magari yenye 260/240, haya mengine yenye 180 yatatofautiana kuchanganya tuu.. kama dereva mzuri hata ist inaingia kwenye ligi na magari mengi tu ya 180.
Ila kuhusu Passo sifahamu jamani..
Hawa wa 260/240 nao hakuna barabara Tanzania wanazoweza kuexercise full potential ya gari kwa angalau dk 5 mfululizo. Huweziendesha kwa 240 kwa dk 5-10 bila kukuta tuta, kivuko cha wanyama, humps, askari wa barabarani, hifadhi wala kona yakukutaka upunguze mpaka hata 80.
Wanaishia kuendesha 160, wananusa extreme (240/260) kwa sekunde 9-23 wanarudi 100-80, ambapo kwa wastani wa safari nzima ni speed 140-160 ambayo ist inatembea vizuri tuu..
"The only thing that matters is who is behind the wheel"