Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Shukrani sana, nitabaki Toyota forever. 😆🙌
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa top speed na kingine kinaitwa acceleration.
 
Ila tinde isaka mzee hufuti kisahani hata siku moja ukitoka isaka kuitafuta kahama pamenyooka kidogo lakini huku mwanzo hufuti
 
Et naskia zimekua nyingi kuliko IST..[emoji23][emoji23]
Ndio ukweli huo.. kila sehemu.. haziwezi pita gari kumi, ukose athelte mbili tatu.. ila kwa dar es salaam.. mikoani sijui hali ipoje
 
Bosi kuna magari ukiwa ndani na speed ya 110, unaona mwenyewe roho inaanzakutoka. Ila kuna magari ukiwa 170 unafikiri bado upo kwenye 80
Kweli mkuu kuna siku nilipanda mnyama Ford toka singida to Dar acha yaani anakuwa speed 200 ila gari inadai
 
Kweli mkuu kuna siku nilipanda mnyama Ford toka singida to Dar acha yaani anakuwa speed 200 ila gari inadai
Kuna magari yanakupa uthubutu, kuna mengine yanakupa ujasiri.
kuna VW ilipata ajali tairi la dereva likatoka, na bado liliweza tembea na matairi matatu kwa zaidi ya 700m mpaka dereva alipoweza kulisimamisha.
 
Mkuu weka vizuri hii sijaelewa, tairi lilipata pancha au lilichomoka na dereva alikuwa spidi gani.
 
Kuna magari yanakupa uthubutu, kuna mengine yanakupa ujasiri.
kuna VW ilipata ajali tairi la dereva likatoka, na bado liliweza tembea na matairi matatu kwa zaidi ya 700m mpaka dereva alipoweza kulisimamisha.
Ebu subiri kidogo mkuu VW lilipata ajali tairi la dereva likachomoka na Gari ikawa na uwezo wa kutembea 700m mpaka dereva alivyoweza kulisimamisha ni hapa bongo au je ni movies ya fast and ferious unatuadithia hapa kivipi inakuja tairi lichomoke na gari iwe nauwezo kuendelea kwa umbali huo je hiyo barabar ni ya wapi je haina tuta wala Kona kingine alikuwa pekee yake barabar hata kama ni usiku lazima kuwe na movement za gari nyingine
Nimeforce kuelewa lkn nimeshindwa
 
Mkuu nenda kawaulize bodaboda wa luguruni, walitaka kulichoma hilo gari maana lilimvunja bodaboda mwenzao.
Ni tukio la mwaka jana tu kati ya hapo luguruni na kabla ya mbezi kwa yusufu.
 
It's possible.
 
Ila tinde isaka mzee hufuti kisahani hata siku moja ukitoka isaka kuitafuta kahama pamenyooka kidogo lakini huku mwanzo hufuti

Sikusema Tinde to Isaka. Nilisema TINDE to KAHAMA to Runzewe...

Kwa tafsiri nyingine ni kwamba TINDE to RUNZEWE sehemu kubwa inaruhusu kumaliza kisahani kwa gari nzima yenye speed 180.

Usibishe. Naongea from real experience on my own.

CC: East Wind
 
Upo sahihi, ile rami ni kiwango, haina tuta wala katoto ka tuta.. .. na ile unafunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…