Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Wewe jidanganye hivyo hivyo hio IST 1NZ haiwezi fua dafu hata kwenye 3S-GE issue sii kuchanganya hata horsepower ya gari ina mchango mkubwa sana kwenye mbio
 
Tatizo sio 140 wala 160 mkuu


Drivetrain pia inachangia fwd ya ist na nguvu yake haiwezi kukeep up na rwd ya crown pia japo mfano wanatoka kwenye bump

Ndio driver ni mtu crucial lakn
Hatuwezi kutoa uwezo wa gari kabisa.
Maana nayo inamake huge difference
 
[emoji16][emoji16][emoji16], kuna magari yanayotajwa nahisi hayajaanza kutengenezwa
 
Hamna forester xt ambayo sio turbo,
Kwa ninavoona mimi hapa bongo
Acceleration kali ni important kuliko top speed
Maana hata kama gari inatop 260 ni mara chache sana utagusa hapo
Na hapo ndo subaru inapokuja in handy
Awd means better accel than rwd
And turbo boosts its performance ....
Unaweza ukawa na rwd nzuri tu hapa bongo
Ila team subie tukasumbua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…