Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Woga wenu msiidhalilishe Subaru. Labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Lakini Subaru proper haiwezi kusumbuliwa na pick up iliozibwa nyuma. Yes Fortuner ni Hilux iliozibwa nyuma.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikutana na Dudu moja ivi Jeupe lina Miguu Myeusi tiiiiiiiiiii...(BMW X6) maeneo ya Rock Hill aise ilikua hatari
 
Wajerumani wanajua tengeneza engine zenye nguvu sana.

Unapata V8 yenye horsepower 500+. Ila V8 za Mjapani zinaenda mpaka 300+ labda uifanyie tunning.
Na hizo V8 za mjerumani ziko boosted na ma turbo wkt za mjapani ni natural aspirated engines,yaani hata wao wajapan wangeamua kuongeza ma turbo tu wanafikia hio hp 500+,ila wao sio wapenzi wa ma turbo sababu ya reliability.

Ila hata hivyo wajapan(Toyota) wako na TRD ukitaka hayo ma turbo&other modes kwa particular car utazikuta huko.
 
Niliingia kwenye mashamba ya katani kukwepa zahama
 
Wajerumani ni shida! Unakuta kitu V8/12 bi-turbo
 
me wala sikuwa na haraka nilikuwa na demu wangu njiani kwenye vituo muhimu tulipumzika kwa raha zetu
 
Ingekuwa wewe ungechagua naturally aspirated engine au turbo charged? And why?
 
Ingekuwa wewe ungechagua naturally aspirated engine au turbo charged? And why?
Mkuu mimi napenda naturally aspirated sababu inakua smooth tofauti na hizi zenye turbo ile lagging yake hua inanipa shida ingawa gari nyingi za kisasa wamejitahidi kupunguza/kuondoa hio lagging.

Turbo naipenda kwenye funny car labda kwa ajili ya weekend lkn sio kwa ajili ya maisha ya kila siku.

Preference yako ikoje na kwanini?
 
Napenda gari yenye nguvu ila CC ndogo.

Mf. CC 2000 inaweza kupa 301 hp wakati ukitaka hiyo power kwa natural aspirated lazima uanzie 4.4 L V8. Which must be a gas guzzler.
 
Hicho kipande tinde - runzewa nilikimbiza 180 hadi natafuta za ziada.. hadi nilipiga ukunga mwenyewe tu kwenye gari kwa raha yake.. ile barabara wamejenga no tuta no kona kona.. ukifunguka umefunguka. Na il ukitokea huku unaweza puyanga hadi geita mjini.. naona road ipo fresh
 
Team crown mbona siwaoni wakitumwagia madini huyu na unyama ndege ya chini hasa Athletes hii kitu ni simba kwa gari zote za sedan
Yangu nimeisha honga, sasa hivi natembea kwa miguu siku mbili tatu.. nivute chuma kama chuma.. haiwezekani.. kwenye foleni.. mmepangana wote athlete πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. Extrovert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…