Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Na mimi ni dereva sio learner hio Fortuner haina mwendo wa kuisumbua Subaru labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Hizo Fortuner,Prado za diesel huwa nazitandika nitakavyo na gari ya cc2000 tu, Kwanza haziko stable(unaweza usinielewe)
Namiliki subaru mwaka wa sita sasa,ni gari nzuri sana kwa mwendo na stability barabarani. Pia inachanganya haraka. Hao wanao idharau hawaijuiii. Nilinunua X5 miaka miwili iliyopita,yes it is very comfortable and stable lakini Subaru inabaki kuwa gari yangu pendwa
 
Naona mkuu Mshana Jr alikuwa anatesa na Discovery alikuwa anatesa tuu

Lakini rafiki yangu yeye alikuwa anaogopa racing sijui pindi anapokutana na semi limeivaa alikuwa anapaki pembeni au maana kuna bus BM Coach ilituovertake ni balaa lile bus linakimbia jamani huo upepo wake Sasa sijui Extrovert alikuwa anasemaje katika hili
Discovery 2.7l tdv6 haina mbio ila ina mapumziko mazuri ukiwa safarini na ni economy,ile disco yenye 4.4l v8 ndio ina mwendo sana.
 
Namiliki subaru mwaka wa sita sasa,ni gari nzuri sana kwa mwendo na stability barabarani. Pia inachanganya haraka. Hao wanao idharau hawaijuiii. Nilinunua X5 miaka miwili iliyopita,yes it is very comfortable and stable lakini Subaru inabaki kuwa gari yangu pendwa
Ulichukua diesel au petrol mkuu?
 
Mlikuwa mnaenda kwa miguu nini maana kila gari limewapita.
Ligi ni mzuri sana haswa kama mnaelekea sehem moja nimekuja nimekuja na utafiti mdogo hapa kuhus nani alikuwa mbabe road trip kwa mwaka Jana.

Land cruiser kama kawaida yake hana mpinzani huyu mnyama anakimbia jamani hajali tuta wala nini yeye ni mwendo alitutesa sana sisi wakina Harrier sio poa mpinzan wake alikuwa ni Land cruiser mkonge, Prado txl new model, Ranger wild track, Nisan navarra, ndo walikuwa wanawekeana misuli

Kuna huyu volkswagen asee hiki chumba kina ondoka wajameni hii ñdiga ni mashine hatari yeye na BMW X 3,4,5 Hawa walikuwa tishio Sana germany mashine sio poa kwa long trip wanapuli sana very comfortable wakiwa barabaran kuovertake ndo usiombe

Kuna huyu mnyama crown ni ana balaa alitupita pale korogwe hatukumuona tena anapepea jamani hii chuma sio mchezo kimetulia barabaran san alikuwa huyu na mwenzie brevis walitupita hatukuwaona tena

Brevis, Grand Mark II hizi Gari zinakimbia gx100 ni anabalaa brevis alitupita kama tumepark vile wakat sisi tulikuwa tunatembelea 120 wakati huo kipande cha hapo Tanga alituovertake na kumuona akitoweka nikamvulia kofia kwa speed hi kwere nae alikuwa anatesa road.

Mark x nae hakuwa mzembe kuna Alphard walikuwa wanatesa. Hii ndio list ya Gari zilikuwa tishio kwa ligi njiañ kwa mwaka Jana December kwa Trip ya kwenda ukanda wa kaskazini kwa utafiti mdogo wang na kwa mtazamo wangu mm najipanga nivute mnyama athletes crown Simba hiki chuma sema tu kwenye bums ndo wanapoteswa hapo na rough roads tuu ndo hafui dafu
 
Namiliki subaru mwaka wa sita sasa,ni gari nzuri sana kwa mwendo na stability barabarani. Pia inachanganya haraka. Hao wanao idharau hawaijuiii. Nilinunua X5 miaka miwili iliyopita,yes it is very comfortable and stable lakini Subaru inabaki kuwa gari yangu pendwa

Mkuu hiyo ni subaru aina gani?
 
Baada yakujifunza kwa muda kidogo, nimegundua the only thing that matters is who is behind the wheel

Ukiacha magari yenye 260/240, haya mengine yenye 180 yatatofautiana kuchanganya tuu.. kama dereva mzuri hata ist inaingia kwenye ligi na magari mengi tu ya 180.

Ila kuhusu Passo sifahamu jamani..

Hawa wa 260/240 nao hakuna barabara Tanzania wanazoweza kuexercise full potential ya gari kwa angalau dk 5 mfululizo. Huweziendesha kwa 240 kwa dk 5-10 bila kukuta tuta, kivuko cha wanyama, humps, askari wa barabarani, hifadhi wala kona yakukutaka upunguze mpaka hata 80.

Wanaishia kuendesha 160, wananusa extreme (240/260) kwa sekunde 9-43 wanarudi 100-80, ambapo kwa wastani wa safari nzima ni speed 140-160 ambayo ist inatembea vizuri tuu..

The only thing that matters is who is behind the wheel
Kuna kipande hapo hedaru jamaa anapiga 230 hadi 240 zaidi ya dk kumi na honda crv ya 260
 
Namiliki subaru mwaka wa sita sasa,ni gari nzuri sana kwa mwendo na stability barabarani. Pia inachanganya haraka. Hao wanao idharau hawaijuiii. Nilinunua X5 miaka miwili iliyopita,yes it is very comfortable and stable lakini Subaru inabaki kuwa gari yangu pendwa
Kuna hizi imprezza non turbo cc1500 zimeingia nyingi sana ndio wengi wanajipima na hizo.
 
Na mimi ni dereva sio learner hio Fortuner haina mwendo wa kuisumbua Subaru labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Hizo Fortuner,Prado za diesel huwa nazitandika nitakavyo na gari ya cc2000 tu, Kwanza haziko stable(unaweza usinielewe)
Fortuner ipo juu sana kutokuwa stable ni kawaida.
 
Woga wenu msiidhalilishe Subaru. Labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Lakini Subaru proper haiwezi kusumbuliwa na pick up iliozibwa nyuma. Yes Fortuner ni Hilux iliozibwa nyuma.
Duuuuh sawa
 
Back
Top Bottom