Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Bosi kuna magari ukiwa ndani na speed ya 110, unaona mwenyewe roho inaanzakutoka. Ila kuna magari ukiwa 170 unafikiri bado upo kwenye 80
Kwa barabara zakitanzaia, ni barabara chache sana unazoweza kumaintain hiyo 170 kwa angalau dk 4 bila kurudi mpaka 80 au chini ya hapo. Maana kuna kona, kuna humps, kuna bumps, kuna vivuko vya wanyama, kuna askari wa barabarani.

Binafsi nafahamu barabara mbili tuu zinazokupa 170 au zaidi kwa muda mrefu.
1. Kipande kinachounga mkoa wa Tanga na Kilimanjaro.
Nimesaudiwa kukumbuka, ni kipande cha Mombo-Same.
Hiki kipande kimekaa vizuri sana, hakina vikwazo na nikirefu.

2. Kipande kingine ni barabara ya Dodoma-Arusha kupitia Kondoa ukiacha matuta yaliyokaribu na kondoa na zile kona nyingi, sehemu kubwa inaruhusu kumaliza dashboard.

Lakini pia gari nyingi zinazosemwa kutokua comfortable kwenye speed kali, zinasemwa kwa stori tuu na kudharaulika kwa jinsi zilivyo, ila sio performance reality. Watu ni either hawajaziendesha, au walipofika speed kubwa ziliwashinda(sio madereva wazuri).

Kama sio mzuri roadini, hata speed 100 utaona gari haipo comfortable.
 
Kwa barabara zakitanzaia, ni barabara chache sana unazoweza kumaintain hiyo 170 kwa angalau dk 4 bila kurudi mpaka 80 au chini ya hapo. Maana kuna kona, kuna humps, kuna bumps, kuna vivuko vya wanyama, kuna askari wa barabarani.

Binafsi nafahamu barabara mbili tuu zinazokupa 170 au zaidi kwa muda mrefu.
1. Kipande kinachunga mkoa wa Tanga na Kilimanjaro.
Kama sijakosea ni connection ya lushoto na machame.

1.Mombo-Same...pia kuna kipande fulani kutoka Kabuku kwenda Segera sio kibaya sana.
2.Gari gani hizo zinasemwa?

Hio ya kusema barabara mbili tu zinakupa 170kph au zaidi kwa dakika nne umepima gari zote Tanzania?
 
Nashukuru kwa kuweka sawa kuhusu Mombo-Same. Nitarekebisha.

Kuhusu kupima magari yote tanzania nadhani kuna sehemu hujanielewa.
Nimesema barabara chache sana Tanzania, ila ninazozijua mimi ndio mbili tuu.. hivyo unawezaongeza unazofahamu.

Pia nimezungumzia kumantain extreme, sio kuattain.

Zaidi ya hapo utanusa sana 260 ila huwezienda dk 5-10 bila kukuta kikwazo chakukutaka upunguze.
 
Hapo kwenye dakika ndio nafikiri inategemea una gari gani. Aidha kumaintain au kuattain inategemea unaendesha gari gani. 260kph labda kwenye ps4.
 
Kwa barabara zakitanzaia, ni barabara chache sana unazoweza kumaintain hiyo 170 kwa angalau dk 4 bila kurudi mpaka 80 au chini ya hapo. Maana kuna kona, kuna humps, kuna bumps, kuna vivuko vya wanyama, kuna askari wa barabarani.

Binafsi nafahamu barabara mbili tuu zinazokupa 170 au zaidi kwa muda mrefu.
1. Kipande kinachunga mkoa wa Tanga na Kilimanjaro.
Kama sijakosea ni connection ya lushoto na machame.
Hiki kipande kimekaa vizuri sana, hakina vikwazo na nikirefu.

2. Kipande kingine ni barabara ya Dodoma-Arusha kupitia Kondoa ukiacha matuta yaliyokaribu na kondoa na zile kona nyingi, sehemu kubwa inaruhusu kumaliza dashboard.

Lakini pia gari nyingi zinazosemwa kutokua comfortable kwenye speed kali, zinasemwa kwa stori tuu na kudharaulika kwa jinsi zilivyo, ila sio performance reality. Watu ni either hawajaziendesha, au walipofika speed kubwa ziliwashinda(sio madereva wazuri).

Kama sio mzuri roadini, hata speed 100 utaona gari haipo comfortable.

Kwa experience yangu:

1. Babati to Arusha.... kama ni usiku mida ya saa 7 na kuendelea, hiko kipande waweza kumaliza kisahani, japo kuna bumps kadhaa chache.

2. Tinde to Kahama to Runzewe...

Huu mkeka ni nowma. Ni lami very smooooth, hakuna bump hata moja mpaka Runzewe. Barabara hiyo magari mengi ni semi za Rwanda, Uganda, na Burundi. Kwa usiku mnene kipande hiki ndipo huwa naipush ist to my top speed as per my control ability. Ni kipande chenye lami tamu mnoooo! I assure that kipande hiki kwa skilled driver mwenye ujasiri anamaliza kisahani bila shida yoyote kwa gari hizi za speed 180.
 
Sisi tulikuwa kwenye chuma cha Harrier New model sema tulikuwa tunatembea mwendo wa mbunge 80,100 mwisho 120

Kumbe ulipewa lift, gari hiyo harrier nayo inatembea tu fresh sema kwakuwa ni lift lazima uvumilie, barabara ya moshi nnazoefu nayo sana ila hadi leo gari ninayoipigia salutu ni fortuner, japo sijawahi endesha gari ya tofauti kutoka kampuni ya toyota zaidi ya subaru na mitsubishi
 
Back
Top Bottom