Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,301
- 1,788
- Thread starter
- #41
Nahisi mpaka leo hukumuona alipopotelea mpaka leo nahisi alikuachia fedheaShida inakuja nilitaka sio kuleta ligi nae..hapana nilitaka kukaa japo nyuma yake tu tusindikizane nae...
Napo bado ulikua mziki mgumu
Tushukuru kulikua na magari mengi barabarani maana nilikaa kaa naye kama masaa mawili hivi
Si unajua woga wa tochi tena
Frm dar to moshi
Ila kuna muda akapata upenyo....ka straight kamoja hv hakukua na magari akapotelea mbele huko
Kwan we ulikuwa na gari ya aina gani mkuu