Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
BMW S5?
Anazungumzia tecno au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BMW S5?
Hahahaha!!!!
Mkuu ilikuwa mitaa gani hiyo
Ni kweli Mkuu..Rang 3 jioni
Ni kweli Mkuu..
Mitaa yetu hiyo rangi 3-chamazi
Passo la piston 3
Chamazi magengen Mkuu mitaa ya Kwa masistaUnakaa chamazi sehemu gani boss
Chamazi magengen Mkuu mitaa ya Kwa masista
Chamazi magengen Mkuu mitaa ya Kwa masista
Popobawa hua ni mtata sana akiwa kwenye harakati zake.Mkuu mm nilikua na Rav 4 yangu Miss TZ sio haba, Nimechuana na raia vibaya. Ichi kidude nimekikubali sana kinapepea kama Popobawa
Unatembea 120 halafu ulipata shida.Sisi tulikuwa kwenye chuma cha Harrier New model sema tulikuwa tunatembea mwendo wa mbunge 80,100 mwisho 120
Karibu Sana mkuuBasi poa mzee tutasoma siku moja maana chamazi mfenesi naenda sana haipiti wiki mbili
Kwa barabara zakitanzaia, ni barabara chache sana unazoweza kumaintain hiyo 170 kwa angalau dk 4 bila kurudi mpaka 80 au chini ya hapo. Maana kuna kona, kuna humps, kuna bumps, kuna vivuko vya wanyama, kuna askari wa barabarani.Bosi kuna magari ukiwa ndani na speed ya 110, unaona mwenyewe roho inaanzakutoka. Ila kuna magari ukiwa 170 unafikiri bado upo kwenye 80
1.Mombo-Same...pia kuna kipande fulani kutoka Kabuku kwenda Segera sio kibaya sana.Kwa barabara zakitanzaia, ni barabara chache sana unazoweza kumaintain hiyo 170 kwa angalau dk 4 bila kurudi mpaka 80 au chini ya hapo. Maana kuna kona, kuna humps, kuna bumps, kuna vivuko vya wanyama, kuna askari wa barabarani.
Binafsi nafahamu barabara mbili tuu zinazokupa 170 au zaidi kwa muda mrefu.
1. Kipande kinachunga mkoa wa Tanga na Kilimanjaro.
Kama sijakosea ni connection ya lushoto na machame.
Hiki kipande kimekaa vizuri sana, hakina vikwazo na nikirefu.
2. Kipande kingine ni barabara ya Dodoma-Arusha kupitia Kondoa ukiacha matuta yaliyokaribu na kondoa na zile kona nyingi, sehemu kubwa inaruhusu kumaliza dashboard.
Lakini pia gari nyingi zinazosemwa kutokua comfortable kwenye speed kali, zinasemwa kwa stori tuu na kudharaulika kwa jinsi zilivyo, ila sio performance reality. Watu ni either hawajaziendesha, au walipofika speed kubwa ziliwashinda(sio madereva wazuri).
Kama sio mzuri roadini, hata speed 100 utaona gari haipo comfortable.
Nashukuru kwa kuweka sawa kuhusu Mombo-Same. Nitarekebisha.1.Mombo-Same...pia kuna kipande fulani kutoka Kabuku kwenda Segera sio kibaya sana.
2.Gari gani hizo zinasemwa?
Hio ya kusema barabara mbili tu zinakupa 170kph au zaidi kwa dakika nne umepima gari zote Tanzania?
Hapo kwenye dakika ndio nafikiri inategemea una gari gani. Aidha kumaintain au kuattain inategemea unaendesha gari gani. 260kph labda kwenye ps4.Nashukuru kwa kuweka sawa kuhusu Mombo-Same. Nitarekebisha.
Kuhusu kupima magari yote tanzania nadhani kuna sehemu hujanielewa.
Nimesema barabara chache sana Tanzania, ila ninazozijua mimi ndio mbili tuu.. hivyo unawezaongeza unazofahamu.
Pia nimezungumzia kumantain extreme, sio kuattain.
Zaidi ya hapo utanusa sana 260 ila huwezienda dk 5-10 bila kukuta kikwazo chakukutaka upunguze.
Kwa barabara zakitanzaia, ni barabara chache sana unazoweza kumaintain hiyo 170 kwa angalau dk 4 bila kurudi mpaka 80 au chini ya hapo. Maana kuna kona, kuna humps, kuna bumps, kuna vivuko vya wanyama, kuna askari wa barabarani.
Binafsi nafahamu barabara mbili tuu zinazokupa 170 au zaidi kwa muda mrefu.
1. Kipande kinachunga mkoa wa Tanga na Kilimanjaro.
Kama sijakosea ni connection ya lushoto na machame.
Hiki kipande kimekaa vizuri sana, hakina vikwazo na nikirefu.
2. Kipande kingine ni barabara ya Dodoma-Arusha kupitia Kondoa ukiacha matuta yaliyokaribu na kondoa na zile kona nyingi, sehemu kubwa inaruhusu kumaliza dashboard.
Lakini pia gari nyingi zinazosemwa kutokua comfortable kwenye speed kali, zinasemwa kwa stori tuu na kudharaulika kwa jinsi zilivyo, ila sio performance reality. Watu ni either hawajaziendesha, au walipofika speed kubwa ziliwashinda(sio madereva wazuri).
Kama sio mzuri roadini, hata speed 100 utaona gari haipo comfortable.
Wooi. Kwanza siipendi hiyo kitu. Siipendi kabisaa. Hamia mjeruman mkuu
Sisi tulikuwa kwenye chuma cha Harrier New model sema tulikuwa tunatembea mwendo wa mbunge 80,100 mwisho 120