Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara
Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma.
Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka. Halmashauri pesa za serikali zinabutuliwa kama ubwbwa.
Mkuu wa nchi yupo busy kupambana kuwaridhisha mabeberu kuwa akina Mbowe wapo huru kufanya mikutano na anakunywa nao juisi za ceres Ikulu