Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Acheni kupayuka ,yule mwehu wenu mbona hakuwahi kumfunga yoyote shauri ya rushwa?Hili liko wazi, ni Mjinga pekeee ,Tena Msoga gan, au Upinzani uchwara au Vyeti Feki nahawa janja janja ndio watapinga.
Ukweli nikwamba, Samia kashindwa kudhibiti Rushwa, nidhamu Kwa watumis imeporomoka , Wizi wa Fedha za Umma umeongezeka.
Watanzania hatutakinkurejeshwa kwenye nyakati za giza tena (Duh
Sukuma Gang kubalini kila zama na Kitabu chake
Kwa hiyo kuna zama za kula mali za uma na zipi tena?Duh
Sukuma Gang kubalini kila zama na Kitabu chake
Kuna tofauti za ulaji tu lakini matumbo ni yale yale!Kwa hiyo kuna zama za kula mali za uma na zipi tena?
Huna akili wewe mwanaCCM.Kuna tofauti za ulaji tu lakini matumbo ni yale yale!
😄😄🤩Huna akili wewe mwanaCCM.
Unacheka nini? Sisi wapinzani tuliona kwa macho alichofanya hayati JPM tukabaki kusema ni mzee wa megastructures alafu unaleta upuuzi
MchosoUmeme shida, maji shida, mfumuko wa bei hausemeki kabisa, vitendo vya rushwa vimetapakaa, vibaka kila kona, wizi/uporaji wa mali za umma, ugumu wa Maisha usio kifani.
Je, kwa hali ilivyo sasa, maridhiano yanatusaidia nini?
RIP, JPM, BABA YETU MPENDWA.
Kwa sasa tunakukumbuka sana.
You sacrificed your life for poor Tanzanians.
May your soul be safe eternally.
Polen san 🤣🤣🤣kubalin jaman zama zenu zimepita na hazirud tena Abadan!!Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara
Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma.
Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka. Halmashauri pesa za serikali zinabutuliwa kama ubwbwa.
Mkuu wa nchi yupo busy kupambana kuwaridhisha mabeberu kuwa akina Mbowe wapo huru kufanya mikutano na anakunywa nao juisi za ceres Ikulu
kamfufue uzikwe wewe.Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara
Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma.
Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka. Halmashauri pesa za serikali zinabutuliwa kama ubwbwa.
Mkuu wa nchi yupo busy kupambana kuwaridhisha mabeberu kuwa akina Mbowe wapo huru kufanya mikutano na anakunywa nao juisi za ceres Ikulu
Kwa hiyo kuna zama za kula mali za uma na zipi tena?
UKSMFUFUE BASI. USITUCHOSHE NA MALALAMIKO YAKO AU HAMIA BURUNDI KABISA KAMA HUKUFURAHI USIKU ULE WA 17/3Kwa hiyo kuna zama za kula mali za uma na zipi tena?
We kenge mbona unawashwa makalio?UKSMFUFUE BASI. USITUCHOSHE NA MALALAMIKO YAKO AU HAMIA BURUNDI KABISA KAMA HUKUFURAHI USIKU ULE WA 17/3
Unauliza swali gani?Kuna zama ambazo mali ya umma haijawahi kuliwa?
wewe ni mpumbavu sanaMkuu wa nchi yupo busy kupambana kuwaridhisha mabeberu kuwa akina Mbowe wapo huru kufanya mikutano na anakunywa nao juisi za ceres Ikulu
Kivipi?wewe ni mpumbavu sana