Tafiti: Rais Samia amepwaya kudhibiti rushwa, nidhamu ya watumishi wa umma

We kenge mbona unawashwa makalio?
Ulijuaje kwamba kenge ana makalio kama na wewe siyo kenge?
kamfufue uzikwe wewe. watanzania hawataki viongozi manyapala tunataka waungwana wenye kujali utu na heshima za watu siyo kufoka,kupora na kubambikizia watu kesi
kamfufue uzikwe wewe sisi mungu alishatutendea wema hapo 17/3
 
We kenge mbona hauna point?
 
Acheni kupayuka ,yule mwehu wenu mbona hakuwahi kumfunga yoyote shauri ya rushwa?
tena umeongea point

Mkapa alifunga Mawaziri wa Mwniyi kina Kiula

Jakaya kafunga Mawaziri, Paymaster General Mgonja, Balozi hadi akavuliwa hadhi ya Ubalozi, Waziri Mkuu na mawaziri kadhaa wakapoteza vyeo wakati wa Jk ikiwa ni pamoja na kuweka reports za ukaguzi hadharani

unapambanaje na ufisadi kwa kudidimiza uhuru wa habari ?
 
Hakika yalikuwa ni maajabu ya karne. ati unawaita waandishi wa habari ikulu na kulitaja gazeti moja tu kwamba wanaandika vizuri hawa wengine?
 
Hili liko wazi, ni Mjinga pekeee ,Tena Msoga gan, au Upinzani uchwara au Vyeti Feki nahawa janja janja ndio watapinga.


Ukweli nikwamba, Samia kashindwa kudhibiti Rushwa, nidhamu Kwa watumis imeporomoka , Wizi wa Fedha za Umma umeongezeka.
Mtakoma na bado.
Suluhisho ni kulifata tu lile shetani lenu kule Chato.
 
Masikini mwenyewe unaumia... sijui waugulia wapi wewe mfuasi wa lile shetani la Chato.
Mnaumia kabisa kuona na sie sasa hivi tuna furaha kuona tuna Rais anayeweza kutusikiliza
 
Hatuko tayari kurudi tena kwenye zama zile za Giza nene
 
Watanzania wa wapi unaowasemea wewe?.
Mlizoea uonevu na dhuluma.
Hebu muacheni rais achape kazi.
 
Mleta mada uko sahihi, upigaji wa fedha za umma ni mkubwa.

Ukwepaji wa kodi kwa wafanyabiashara ni mkubwa pia.
 
Ila jamani ,Mungu ni fundi sana
 
Watanzania hawaitaji demokrasia uchwara ila wanapenda kuwaona watu wasiojulikana wakifanya kazi yao
 
Hili liko wazi, ni Mjinga pekeee ,Tena Msoga gan, au Upinzani uchwara au Vyeti Feki nahawa janja janja ndio watapinga.


Ukweli nikwamba, Samia kashindwa kudhibiti Rushwa, nidhamu Kwa watumis imeporomoka , Wizi wa Fedha za Umma umeongezeka.


Samia ndiye aliyeiba pesa za umma za plea bargain na kwenda kuficha China ??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…