haina haja ya kuwatetea wanapata shida kwa ajili ya uongozi wa awamu ya6 waache wafe kwa shida maana wengi wao ndio hao baba zao wezi wauza unga biashara zao hazina ushuru hao ndio wanaotetea awamu hii wengine chakula akirudi nyumbani anakikuta hajui gharama ya mchele wala unga waache ipo siku watajua kama hawajui nguruwe hawa