Tafiti ya IMF yashauri Crypto-currency kutotumika kama fedha halali (Legal tender)

Tafiti ya IMF yashauri Crypto-currency kutotumika kama fedha halali (Legal tender)

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Utafiti wa IMF kuhusu Malipo ya Kidigitali - Sub Saharan Afrika, imeshauri kutotumia Crypto Currency kama fedha halali ya malipo. Suala hili linakuja wakati ambapo duniani Crypto Currency zinaongezeka kila uchao na baadhi ya nchi zikiwa zinaitumia fedha hizo kwa malipo ya kawaida.

Suala la fedha hii kuwa legal tender ni mjadala wa muda mrefu. Kwa nchini Tanzania, serikali haitambui matumizi ya Crypto currency japo kwenye sheria ya mapato marekebisho ya mwaka 2024 iliitaja kama Digital Asset.

Hata hivyo suala la digital payments innovations zinaendelea kutumika kwa kasi na zikikutana na limiting factors nyingi ikiwemo gharama za malipo.

Je, huu utakuwa mwisho wa crypto kwa nchi za Afrika?
 
Back
Top Bottom