Kuna tafiti ambazo zimefanywa na kuleta manufaa kwa taifa na dunia kwa ujumla. Mfano hivi karibuni shirika la afya duniani (WHO) limetangaza kuondoshwa kwa aina fulani za dawa (antibiotics: -ampicillin) kwenye kutibu kwa sababu tafiti zilizofanywa Tanzania na kwingineko zimeonyesha kuwa na usugu mkubwa.Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k).
Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia? Tunaweza kujua wapi kwamba zimeleta athari chanya kwa nchi yetu? Je, tafiti hizo zina uhalisia? Au wanafanya tu kama sehemu ya takwa la kitaaluma.
NISAIDIENI WATAALAM
Huwa zinaishia kwenye public places ambapo watu wanaweza kuziona na kuzisoma lakini kwa bahati mbaya huwa hawazioni na hivyo kushindwa kuzisoma na kuwapelekea wadhani kuwa hazipo kwenye sehemu ambazo walidhani kuwa zilitakiwa kuwepoUkienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k).
Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia? Tunaweza kujua wapi kwamba zimeleta athari chanya kwa nchi yetu? Je, tafiti hizo zina uhalisia? Au wanafanya tu kama sehemu ya takwa la kitaaluma.
NISAIDIENI WATAALAM
Cha kushangaza wanaojibu hoja kwa kutumia taifit za ccm wapo vyuoni.UDSMUkienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k).