gcmmedia
Member
- Jul 19, 2024
- 34
- 75
Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k).
Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia? Tunaweza kujua wapi kwamba zimeleta athari chanya kwa nchi yetu? Je, tafiti hizo zina uhalisia? Au wanafanya tu kama sehemu ya takwa la kitaaluma.
NISAIDIENI WATAALAM