Tafiti za vyuo vikuu huishia wapi?

Tafiti za vyuo vikuu huishia wapi?

gcmmedia

Member
Joined
Jul 19, 2024
Posts
34
Reaction score
75
Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k).

Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia? Tunaweza kujua wapi kwamba zimeleta athari chanya kwa nchi yetu? Je, tafiti hizo zina uhalisia? Au wanafanya tu kama sehemu ya takwa la kitaaluma.

NISAIDIENI WATAALAM
 
Kuna tafiti ambazo zimefanywa na kuleta manufaa kwa taifa na dunia kwa ujumla. Mfano hivi karibuni shirika la afya duniani (WHO) limetangaza kuondoshwa kwa aina fulani za dawa (antibiotics: -ampicillin) kwenye kutibu kwa sababu tafiti zilizofanywa Tanzania na kwingineko zimeonyesha kuwa na usugu mkubwa.
Hata kilimo, leo tuna mbegu za aina nyingi za mazao ya biashara na chakula kwa sababu ya tafiti zinazofanywa na wataalamu wetu.

Wataalamu wanapofanya utafiti hawalengi tu taaluma zao bali jamii. Pia ni nadra kutumia utafiti mmoja ili kufikia hitimisho kwamba kitu au jambo fulani lina manufaa kwa taifa, bali ulinganisho hufawanyika ambapo tafiti toka sehemu mbalimbali za dunia ikiwemo Tanzania hufanyiwa uchanganuzi ili kufikia hitimisho fulani kutokana na tafiti hizo kwa ajili ya kuisaidia jamii. Ni kwa njia hii utaona nafasi za vyuo vyetu duniani (university ranking) hutolewa kulingana na wataalamu wake wanavyochangia ktk tafiti ambazo zimekuwa na mchango ktk taifa na dunia kwa ujumla.
 
Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k).

Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia? Tunaweza kujua wapi kwamba zimeleta athari chanya kwa nchi yetu? Je, tafiti hizo zina uhalisia? Au wanafanya tu kama sehemu ya takwa la kitaaluma.

NISAIDIENI WATAALAM
Huwa zinaishia kwenye public places ambapo watu wanaweza kuziona na kuzisoma lakini kwa bahati mbaya huwa hawazioni na hivyo kushindwa kuzisoma na kuwapelekea wadhani kuwa hazipo kwenye sehemu ambazo walidhani kuwa zilitakiwa kuwepo
 
Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k).

Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia? Tunaweza kujua wapi kwamba zimeleta athari chanya kwa nchi yetu? Je, tafiti hizo zina uhalisia? Au wanafanya tu kama sehemu ya takwa la kitaaluma.

NISAIDIENI WATAALAM
Cha kushangaza wanaojibu hoja kwa kutumia taifit za ccm wapo vyuoni.UDSM
 
Back
Top Bottom