Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo vip!
Kuna utafiti mmoja umefanywa na shirika moja la kimarekani,linasema wanaume weupe hawapendi ngono sana kama wanaume weusi.
Wanasema wanaume weupe wanapenda sana kumiliki vitu vizuri kama mali,biashara kubwa,technology,utawala ,magari mzuri,majumba ya kifahari n.k
Wanasema ndio maana katika dunia hii wanaume weupe ndio wanaomiliki utajiri,technologia,utawala ,vitu vyote vya thamani n.k.
Mfano hata hapa Tanzania wanaongoza kwa lumiliki biashara kubwa lazima awe mweupe..mfano MoDewji,Bakresa n.k
Na hii naamini kwasababu kuna siku nilishuhudia hili kulikuwa na wachina,wazungu na wafrika sehemu fulani walikuwa wanafanya kazi fulani...katika mazingira hayo wakapita wanawake cha kushangaza waafrika weusi waligeuka naa kuacha kazi na kuanza kuwatanzama wale wanawake ila wazungu,wachina na baadhi ya waafrika weupe hawakugeuke kabisa waliendelea na shughuli zao.
Utafiti unaonyesha mwanaume mweupe hapendi sana vitu vichafu kwasababu ya rangi zao hivyo huchukulia mapenzi ni uchafu ila ufanya wakati wakati anataka kuendeleza vizazi vyao yaani kuweka mbegu na kuondoka.
Hivyo wanawake wasijisumbue kupendwa na mwanaume mweupe kwasababu hawapendi uchafu.