Tafiti Zinaonyesha 75% ya Matajiri Tanzania ni Wajasiliamali

Tafiti Zinaonyesha 75% ya Matajiri Tanzania ni Wajasiliamali

Joined
Feb 1, 2025
Posts
33
Reaction score
44
📊 TAFITI ZINAONESHA!

✅ 75% ni Wajasiriamali
✅ 15% ni Wawekezaji
✅ 7% ni Wanamichezo
✅ 3% ni Wasanii
❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu

👉 Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri?
Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza chanzo cha kipato! 💡🔥

📌 Usikubali mshahara pekee udhibiti ndoto zako.

Business Ideas Academy (BIA)
Chuo Cha Mawazo Ya Biashara

Tunasaidia watu kupata mawazo mbalimbali ya biashara ya mitaji mbalimbali yanayoweza kuwasaidia kuanzisha au kukuza biashara au miradi yao kwa ufanisi. Pia tunatoa elimu na ushauri wa ujasiriamali na biashara kwa vijana na jamii kwa ujumla.
Email: [email protected]
#ChuoChaMawazoYaBiashara
#BusinessIdeasAcademy
#Biashara #Ujasiriamali #Kujitegemea #Utajiri #KipatoChaZiada #AjiraNaBiashara #JifunzeKuwekeza #StartYourBusiness #InspirationTZ #TanzaniaEntrepreneurs #MotishaYaMaisha #WajasiriamaliTanzania #AjiraTanzania #ThinkBigTZ #MarketingGrowmatics #KuaNaMalengo #SmartIncome #SideHustleTZ
 
📊 TAFITI ZINAONESHA!

✅ 75% ni Wajasiriamali
✅ 15% ni Wawekezaji
✅ 7% ni Wanamichezo
✅ 3% ni Wasanii
❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu

👉 Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri?
Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza chanzo cha kipato! 💡🔥

📌 Usikubali mshahara pekee udhibiti ndoto zako.

#Biashara #Ujasiriamali #Kujitegemea #Utajiri #KipatoChaZiada #AjiraNaBiashara #JifunzeKuwekeza #StartYourBusiness #InspirationTZ #TanzaniaEntrepreneurs #MotishaYaMaisha #WajasiriamaliTanzania #AjiraTanzania #ThinkBigTZ #MarketingGrowmatics #KuaNaMalengo #SmartIncome #SideHustleTZ

Tofautisha wajasiliamali na wale wahuni wa kwetu.

Kwamba wana access hadi kwenye vyungu vya tume ya uchaguzi? Huko BoT, na mabenki mengine hawana?

Wahuni si watu wazuri!
 
Hao wafanya biashara anao wafikiria ,wamefanyiwa tu prox na wana siasa.

IMG_20240428_070927.jpg


Bila kufungua chungu, maelewano hayapo!
 
📊 TAFITI ZINAONESHA!

✅ 75% ni Wajasiriamali
✅ 15% ni Wawekezaji
✅ 7% ni Wanamichezo
✅ 3% ni Wasanii
❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu

👉 Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri?
Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza chanzo cha kipato! 💡🔥

📌 Usikubali mshahara pekee udhibiti ndoto zako.

#Biashara #Ujasiriamali #Kujitegemea #Utajiri #KipatoChaZiada #AjiraNaBiashara #JifunzeKuwekeza #StartYourBusiness #InspirationTZ #TanzaniaEntrepreneurs #MotishaYaMaisha #WajasiriamaliTanzania #AjiraTanzania #ThinkBigTZ #MarketingGrowmatics #KuaNaMalengo #SmartIncome #SideHustleTZ
Wanasiasa hapo wako wapi?
 
Kama na wewe unataka kua tajiri tumia uchawi huu hapa chini:
  1. Nidhamu ya kifedha – kutumia kwa busara, kuwekeza, kuweka akiba , kuepuka matumizi yasiyo ya lazima.
  2. Kujifunza na kuboresha ujuzi – haraka ya kujifunza mambo mapya na kuboresha maarifa kila wakati.
  3. Uvumilivu mbele ya changamoto – kutokuogopa kushindwa, bali kustahimili na kujifunza kutokana na makosa.
  4. Kuwa na malengo thabiti – kuwa na mipango ya kifedha na malengo ya muda mfupi na mrefu.
  5. Ubunifu na kutatua matatizo – kuwa na uwezo wa kutambua fursa na kuzitumia kwa njia bunifu.
  6. Uwezo wa kujenga mitandao – kujua thamani ya mahusiano na mitandao ya biashara.
  7. Thamani ya uwekezaji – kufahamu umuhimu wa kuweka fedha kwenye mali zinazoongeza thamani.
  8. Kufanya kazi kwa bidii – kujituma na kutumia muda vyema katika shughuli zinazohusu kuboresha biashara zako.
  9. Akili ya kibiashara – kuchambua soko na fursa kabla ya kufanya maamuzi ya kibiashara
 
Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri?
Mbona kuna mwenzetu mmoja anategemea mshahara kama sisi lakini ana ukwasi wa kutosha.
Anamiliki mpaka timu ya mpira yenye wachezaji wa kulipwa!!?
Usitukatishe tamaa, hata mshahara unakutoa 🤩🤩
 
Sasa wote tukiwa matajiri nani atakuwa maskini.... tuache na umaskini wetu. Ili aonekane tajiri lazima maskini nae aonekane
 
Back
Top Bottom