Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Mbona umesahau wanasiasa
❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tuHuu utafiti wa nchi gani? Au bara gani? Kweli hapa Africa wanasiasa hawamo?
❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tuMbona umesahau wanasiasa
❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tuMatajiri ni wana siasa
Basi kuna kitu haujajua bado❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu
Kitu gani mkuuBasi kuna kitu haujajua bado
Kuhusu utajiri na siasa za africa .Kitu gani mkuu
Basi watakua wanafanya biashara zingine mbali na siasa.Matajiri wa zawa wa nchi hii(Wafanyabiashara wakubwa) ni Wanasiasa na Watumishi wa umma...saizi ya kati wajasiliamali.
pigia mstari.Basi watakua wanafanya biashara zingine mbali na siasa.