BUSINESS IDEAS ACADEMY
Member
- Feb 1, 2025
- 33
- 44
Na wafanyazi wa NIDAMatajiri ni wana siasa
ππNa wafanyazi wa NIDA
Hao wafanya biashara anao wafikiria ,wamefanyiwa tu prox na wana siasa.Huu utafiti wa nchi gani? Au bara gani? Kweli hapa Africa wanasiasa hawamo?
Huwa wanatuletea tafiti za huko ughaibuni.Hao wafanya biashara anao wafikiria ,wamefanyiwa tu prox na wana siasa.
π TAFITI ZINAONESHA!
β 75% ni Wajasiriamali
β 15% ni Wawekezaji
β 7% ni Wanamichezo
β 3% ni Wasanii
β 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu
π Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri?
Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza chanzo cha kipato! π‘π₯
π Usikubali mshahara pekee udhibiti ndoto zako.
#Biashara #Ujasiriamali #Kujitegemea #Utajiri #KipatoChaZiada #AjiraNaBiashara #JifunzeKuwekeza #StartYourBusiness #InspirationTZ #TanzaniaEntrepreneurs #MotishaYaMaisha #WajasiriamaliTanzania #AjiraTanzania #ThinkBigTZ #MarketingGrowmatics #KuaNaMalengo #SmartIncome #SideHustleTZ
Hao wafanya biashara anao wafikiria ,wamefanyiwa tu prox na wana siasa.
Sijaelewa una maanisha kitu gani?
Sijaelewa una maanisha kitu gani?
Hahaha kumbeMkuu hawa wanasiasa wenye hizo mali zionekanazo huko wajasiliamali ni wale amaarufu "wahuni" wa kwetu. Iko kwenye comment hiyo hapo kwa ufafanuzi.
[Ur]GE2025 - Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba
Tunaelewana nao hao vipi kabla vyungu kufunguliwa?
Wanasiasa hapo wako wapi?π TAFITI ZINAONESHA!
β 75% ni Wajasiriamali
β 15% ni Wawekezaji
β 7% ni Wanamichezo
β 3% ni Wasanii
β 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu
π Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri?
Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza chanzo cha kipato! π‘π₯
π Usikubali mshahara pekee udhibiti ndoto zako.
#Biashara #Ujasiriamali #Kujitegemea #Utajiri #KipatoChaZiada #AjiraNaBiashara #JifunzeKuwekeza #StartYourBusiness #InspirationTZ #TanzaniaEntrepreneurs #MotishaYaMaisha #WajasiriamaliTanzania #AjiraTanzania #ThinkBigTZ #MarketingGrowmatics #KuaNaMalengo #SmartIncome #SideHustleTZ
Hahaha kumbe
Mbona kuna mwenzetu mmoja anategemea mshahara kama sisi lakini ana ukwasi wa kutosha.Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri?