Tafiti zinaonyesha Wanawake wanakosa uamuzi wa kuendelea kulea mimba isiyotarajiwa hasa zile zitokanazo na maharimu (kujamiiana na ndugu wa damu) kwani jambo hili halikubaliki na jamii nyingi za Kiafrika.
Pia watoto waliopatikana kwa mazingira haya hutengwa na kubaguliwa (Rosemary B. & Elizabeth I. 2014).
Kwa sababu hii na nyingine nyingi, kubaki na mimba hizo sio tu kunasababisha mateso ya kimwili na kiakili kwa Wanawake, lakini pia huwatenganisha na jamii.
Mfumo wa kisheria wa Tanzania juu ya masuala huduma salama za utoaji mimba unabakia kuwa na vikwazo vingi ambavyo huondoa haki za msingi za Wanawake hasa wanapopata mimba kutokana na sababu tajwa hapo juu.
#AfyayaUzazi #AfyaKwanza #AfyaKwaWote