Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa muhudumu.
Wateja wageni wengi kutoka kote duniani wamezoa tip ni hiyari na hisani tu lakini wamechanganyikwa walipofika Marekani kukuta tip ni lazima hali iliyozua taharuki wakilalamika huo ni utapeli.
Wateja wageni wengi kutoka kote duniani wamezoa tip ni hiyari na hisani tu lakini wamechanganyikwa walipofika Marekani kukuta tip ni lazima hali iliyozua taharuki wakilalamika huo ni utapeli.