Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Unaweza pia uka customize kiwango unachotaka wewe.Kwa nini tip inakuwa katika mfumo wa % kati ya 15%-20% ?
Hizo 15%, 20%, n.k., huwa ni za muongozo tu. Si lazima utoe kwa kiwango hicho kilichopendekezwa.
Unaweza kutoa kwa kiwango unachotaka wewe.