Je,hilo la tips za "lazima" limeanza kwenye kombe hilo la dunia au ni utaratibu "lazimishwa/rasmishwa" wa USA?Pili,ni USA pekee ilipoonekana hilo au hata Canada na Mexico?Usipotoa tip mhudumu atakuuliza kwa , vipi mbona hujatoa tipi, huduma ilikuwa na shida? Au labda utakuwa blacklisted. Sehemu nyingine ni lazima kama kodi vile.
Labda tumuulize Kiranga
Kwa ajili ya kutalii au kufuatilia tips?Ngoja tufanye mpango tuende Marekani.
Ku tip ni hiyari.Usipotoa tip mhudumu atakuuliza kwa , vipi mbona hujatoa tipi, huduma ilikuwa na shida? Au labda utakuwa blacklisted. Sehemu nyingine ni lazima kama kodi vile.
Labda tumuulize Kiranga
Kabla haujafika huko USA:Umejiuliza,kama kweli mfanyabiashara/mtoa huduma anaweza akaweka kero kwa wateja na hapohapo ategemee mauzo mema na faida bila rabsha na manung'uniko kutoka kwa wateja?Umejiuliza hii taarifa imetoka kipindi hiki cha WC kwa nini na lengo kuu ni lipi hasa?Yote
Tip hupangwa au hutolewa kadiri ya hiyari ya mtoaji?Kwani asipotoa inakuwaje?Kwa nini tip inakuwa katika mfumo wa % kati ya 15%-20% ?
Ni sehemu iliyoonekana kuwa ndogo mtu anaweza kulipa kirahisi, ikiwa kapendezwa na huduma.Kwa nini tip inakuwa katika mfumo wa % kati ya 15%-20% ?
Teh teh π π noma sanaBongo nikitoa Tip ya 20% , huyo muhudum anaenda kulala kwangu.
Kitu cha filet Mignon πππMashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa muhudumu.
Wateja wageni wengi kutoka kote duniani wamezoa tip ni hiyari na hisani tu lakini wamechanganyikwa walipofika Marekani kukuta tip ni lazima hali iliyozua taharuki wakilalamika huo ni utapeli.
View attachment 3616604
View attachment 3616605
View attachment 3616606