Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,439 Reaction score 145,410 Jun 28, 2026 #21 Yoda said: Kwa nini tip inakuwa katika mfumo wa % kati ya 15%-20% ? Click to expand... Unaweza pia uka customize kiwango unachotaka wewe. Hizo 15%, 20%, n.k., huwa ni za muongozo tu. Si lazima utoe kwa kiwango hicho kilichopendekezwa. Unaweza kutoa kwa kiwango unachotaka wewe.
Yoda said: Kwa nini tip inakuwa katika mfumo wa % kati ya 15%-20% ? Click to expand... Unaweza pia uka customize kiwango unachotaka wewe. Hizo 15%, 20%, n.k., huwa ni za muongozo tu. Si lazima utoe kwa kiwango hicho kilichopendekezwa. Unaweza kutoa kwa kiwango unachotaka wewe.
Chrysanthemum JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 1,969 Reaction score 7,137 Jun 28, 2026 #22 Kumbe ni hiari 🤣 litakuzwa hili jambo sio kawaida ! Hasa kwa sisi ambao hatujawahi kufika hata hapo Uganda !!
Kumbe ni hiari 🤣 litakuzwa hili jambo sio kawaida ! Hasa kwa sisi ambao hatujawahi kufika hata hapo Uganda !!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 28, 2026 #23 Inasikitisha sana... Ni sawa na wapiga debe wa huku... au madalali... Cc: Mahondaw
B Binti tz JF-Expert Member Joined Jun 26, 2026 Posts 480 Reaction score 1,038 Jun 28, 2026 #24 Na nina mpango wa kuzuru marekan
B Binti tz JF-Expert Member Joined Jun 26, 2026 Posts 480 Reaction score 1,038 Jun 28, 2026 #25 Ila trump nataka tukutane nawe maana mambo yako magumu