Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.

Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake.

Soma zaidi:
==>CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
==> Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
==> Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao
==> Kuuawa kwa Mzee Ally Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi
==> Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ally Mohamed Kibao jijini Tanga
 
Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.

Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake.
View attachment 3091384

Kwa kweli haya maCCM na serikali yake wanawadharau sana Watanzania. Yaani wanakuua halafu wanatuma mtuwao kuja kutoa rambirambi. Hii ni dharau ya hali ya juu.
 
Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.

Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake.
View attachment 3091384
Namna hii, namna hii. Ni mwanzo mzuri
 
Aibu ya mwaka wallah 😂😂😅😅
 
Back
Top Bottom