Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

Kwanza ilibidi wamkwidee roba huyo waziri. Lol
Kule Ruvuma iliwahi kutokea kijana mmoja alikufa kwenye mazingira tatanishi, na wajuzi wa mambo wakasema ni baba mzazi wa kijana amehusika. Baba yule aligoma kwenda makaburini wakati wa maziko, akidai anaumwa. Watu wakiwa wameandaa kaburi tayari, wakajadiliana kuwa hawawezi kumzika marehemu bila ya Baba yake kuwepo. Wakatumwa watu kwenda kumbembeleza baba, wakiwa wamempelekea usafiri. Baba akafika kaburini. Kufika tu wakamnyanyua juu juu na kumwingiza ndani ya kaburi lililokuwa limeandaliwa kwaajili ya mwanae. Wakampa dakika 5 za kusali kama anataka. Baada ya hapo walirusha udongo kwa kasi ya ajabu. Walipomaliza kumzika akiwa hai wakaanza kuandaa kaburi la marehemu, kijana wake. Polisi wanafika kwenye tukio, ndiyo mwili wa marehemu unashushwa kaburini. Polisi wakaamuru kuanza kufukua kaburi la yule baba. Lakini tayari alikuwa amekwishakufa.

Hii inatufundisha kuwa kama wewe upo upande wa wauaji hustahili kwenda msibani. Unaenda kuwazidishia huzuni na hasira waombolezaji. Mauaji ya ndugu yetu Ali Kibao yamefanywa na agents wa Serikali, halafu mtu wa Serikali anaenda na rambirambi, mbona ni dhihaka kubwa sana!!
 
Mwaka gan mkuu??
 
Hivi unajua wananchi karibu nchi nzima Kwa sasa wanahasira sana, wanaona hawapo tena salama
Ndiyo manake,watu wanasema ehh kumbe sahivi kuna watu tu wanaweza kuja wakakuchukua na kwenda kukuaa na hakuna chochote kitafanyika
Sasa watu wakiamua kujilinda si nsiyo itakuwa tafrani maana,hicho kikundi ni cha watu wachache sana

Ova
 
Back
Top Bottom