imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kwahiyo Nchimbi aliogopa kuambiwa ajiuzulu?! Toa Upuuzi wako.Ndo maana Nchimbi hakwenda kwenye mdahalo kwa sababu ya hawa wahuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Nchimbi aliogopa kuambiwa ajiuzulu?! Toa Upuuzi wako.Ndo maana Nchimbi hakwenda kwenye mdahalo kwa sababu ya hawa wahuni.
Taking responsibilityNaomba kuuliza… akijihuzuru ndo utekaji utaishaa??🤔
Mbowe siku hz amekua kama Mwijakumbowe anawakosea watanzania sana ,alitakiwa akae kimya
Hapana, ni Papo kwa hapo!I mean baada ya kumsitiri marehemu kwanza.
amemuokoa Masauni kutokana na hasira za waombelezaji, vinginevyo leo wangemgaeana vipande... ali keep the peace... kongore kwake...mbowe anawakosea watanzania sana ,alitakiwa akae kimya
Au ngwala kabisa, apige mweleka jukwaani!🤪Kwanza ilibidi wamkwidee roba huyo waziri. Lol
abakie wann ,wangemsambaratishaamemuokoa Masauni kutokana na hasira za waombelezaji, vinginevyo leo wangemgaeana vipande... ali keep the peace... kongore kwake...
Kwanza ilibidi wamkwidee roba huyo waziri. Lol
Watu wamechoka kuuawa kwa maagizo kutoka juu. Haiwezekani watu waje wamtie mtu pingu hivihivi bila kuagizwa. Never.Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.
Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake.
View attachment 3091384
Ningependa sana wamgawane, labda serikali ingeamka huko walipo...abakie wann ,wangemsambaratisha
Shughuli ya mazishi ikiisha watampata wapi?Sasa wangemaliza kwanza hiyo shughuli ya mazishi Kisha mambo MENGINE yafuatie.,ni ibada hiyo...
Mbowe ana hekima!mbowe anawakosea watanzania sana ,alitakiwa akae kimya