Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.
Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake.
Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.
Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake. View attachment 3091384
Kwa kweli haya maCCM na serikali yake wanawadharau sana Watanzania. Yaani wanakuua halafu wanatuma mtuwao kuja kutoa rambirambi. Hii ni dharau ya hali ya juu.